Lakini watu Bado wanapitia mara Moja mojaUzi umepoa lakini
Lakini watu Bado wanapitia mara Moja mojaUzi umepoa lakini
Moja moja ni nzuri lakini uzi wa aina hiiLakini watu Bado wanapitia mara Moja moja
Hii inatokana na Uzi kukaa sana kwahiyo vibe limekataMoja moja ni nzuri lakini uzi wa aina hii
Limekata vibe ila uzi bado ni mzuriHii inatokana na Uzi kukaa sana kwahiyo vibe limekata
Mzuri wapi mpaka Leo hamna mshindiLimekata vibe ila uzi bado ni mzuri
Mshindi ni mimi kama usipo reply comment yanguMzuri wapi mpaka Leo hamna mshindi
Yangu macho nikikutazama mshindi wa mchongo wakati Kuna watu watakuja tena kwenye huu UziMshindi ni mimi kama usipo reply comment yangu
Uzi inabidi mods waifunge na mshindi nipewe zawadiYangu macho nikikutazama mshindi wa mchongo wakati Kuna watu watakuja tena kwenye huu Uzi
Zawadi kama zipo tuendelee na ligiUzi inabidi mods waifunge na mshindi nipewe zawadi
Ligi ishakuwa na challenge sasaZawadi kama zipo tuendelee na ligi
Sasa kwanini nikuchallenge wakati uwanja wako nitakaa kimya nikiona mtu amekuja kuleta kiherehere nakuja kumfukuza ubingwa uwe wakoLigi ishakuwa na challenge sasa
Wako ushindi ushaupata kwa yule mtoto mzuriSasa kwanini nikuchallenge wakati uwanja wako nitakaa kimya nikiona mtu amekuja kuleta kiherehere nakuja kumfukuza ubingwa uwe wako
Mzuri wapi wakawaida tu nampambaWako ushindi ushaupata kwa yule mtoto mzuri
Nampamba kama wanasiasa wanavotupamba sisi kwa mambo yasio na mafanikioMzuri wapi wakawaida tu nampamba
Mafanikio unategemea yataletwa na wanasiasa utasubiri sanaNampamba kama wanasiasa wanavotupamba sisi kwa mambo yasio na mafanikio
Sana sana utaishia kulaumu ni bora ujitafutie mtoto mzuri uenjoy maishaMafanikio unategemea yataletwa na wanasiasa utasubiri sana
Maisha na mtoto mzuri yanahitaji pesaSana sana utaishia kulaumu ni bora ujitafutie mtoto mzuri uenjoy maisha
Maisha yetu ndiyo yanahitaji hivyo shida hatuna helaSana sana utaishia kulaumu ni bora ujitafutie mtoto mzuri uenjoy maisha
Pesa inatafutwa kakaMaisha na mtoto mzuri yanahitaji pesa
Kaka ukiitafuta kwa shida inahitaji nidhamu katika matumiziPesa inatafutwa kaka