Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 4,710
- 5,699
Asikilizwe sanaYule anahoja ya msingi asikilizwe
Asikilizwe sanaYule anahoja ya msingi asikilizwe
Asikilizwe nini anaongea pumba tu mbona kipindi cha mwendazake alikaa kimya?Yule anahoja ya msingi asikilizwe
Kimya muda mwingine hakileti manufaa kwa jamiiAsikilizwe nini anaongea pumba tu mbona kipindi cha mwendazake alikaa kimya?
Jamii haimtaki sasa atulize kishunduKimya muda mwingine hakileti manufaa kwa jamii
Kishundu chake kimefanya nini tenaJamii haimtaki sasa atulize kishundu
Tena kinamuwashaKishundu chake kimefanya nini tena
Kinamuwasha kweli ndio maana anafunguka yanayoendeleaTena kinamuwasha
Yanayoendelea hayamhusuKinamuwasha kweli ndio maana anafunguka yanayoendelea
Hayamhusu kuvipi na wakati ni raia wa tanzaniaYanayoendelea hayamhusu
Tanzania ya samia samia oyeeeeHayamhusu kuvipi na wakati ni raia wa tanzania
Oyeeee mtasema nyinyi , unamalizia comment kwa mtego ili na mimi niseme oyee au sio 😂😂Tanzania ya samia samia oyeeee
Sio lazima useme ,,nikisema mm inatoshaOyeeee mtasema nyinyi , unamalizia comment kwa mtego ili na mimi niseme oyee au sio 😂😂
Inatosha kusema Tanzania ni yetu soteSio lazima useme ,,nikisema mm inatosha
Some tunapaswa kuijenga sio kuilaumu serikali tukuka ya kipenzi cha watu mama.samiaInatosha kusema Tanzania ni yetu sote
😄Samia ameingiaje tena humuSome tunapaswa kuijenga sio kuilaumu serikali tukuka ya kipenzi cha watu mama.samia
Humu ni jukwaa huru😄Samia ameingiaje tena humu
Huru kusema mawazo yako ni haki ya msingi ya kila mtuHumu ni jukwaa huru
Kila.mtu ashinde mechi zakeHuru kusema mawazo yako ni haki ya msingi ya kila mtu
Atashinda ndio ila sidhani kama itakuwa kwa hakiZake zilikua ndoto, mechi gani unatarajia kila mtu atashinda?