House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,189
- 2,206
upresdaa kazi kwelikweli, obama katoa machozi ulimwengu ukamshangaa
Ukamshangaa Obama akitoa machozi kwani cha ajabu nn!!!?? mimi nilishamshuhudia Pinda akilia bungeni ila sikumshangaaupresdaa kazi kwelikweli, obama katoa machozi ulimwengu ukamshangaa
utamshangaa magufuli anavyobeba mijengo ya watu kama vile watu wametumia mawe kujenga kumbe mihelaupresdaa kazi kwelikweli, obama katoa machozi ulimwengu ukamshangaa
mhela yenyewe waliipata kwa shida kazingumu nakujenga mijumba leo wana vunjiwa kihasara,utamshangaa magufuli anavyobeba mijengo ya watu kama vile watu wametumia mawe kujenga kumbe mihela
Kabisa wavunjiwe kwani wamejenga kinyume na sheriaKihasara kabisaa
Sheria ni msumeno.Kabisa wavunjiwe kwani wamejenga kinyume na sheria
Alani ndipo mtume petro alipoagizwa arudishe upanga wake na Bwana Yesu mara baada ya kumkata sikio mmojawapo wa askari waliokuja kumkamata YesuHaukati nyama kisu kikiwa alani.
Issa bin maryamu kuzaliwa kwake ni ishara kubwa ya kuwepo Mungu mbinguniYesu waislam wanamwita issa
Issa bin maryamu mwenye kuheshimiwa leo dunian na kesho mbinguni
motokaa hata iwe ferari ya schumacher haiwezi kutupeleka peponiMbinguni huwezi kwenda kwa motokaa.
motokaa hata ya schumacher haiwezi kutupeleka peponi
Pepo wataiona wasio wadhambi.Peponi linatokana na neno "pepo"
Pepo raha sana Mungu amewaahidi wale wenye nyoyo safi malipo makubwaPeponi linatokana na neno "pepo"
wadhambi ni wale wanaoiba wake za watu vijana jamani tuache kegegedanaPepo wataiona wasio wadhambi.
Kugegedana sitaacha hadi Uzi huu ufike the ENDwadhambi ni wale wanaoiba wake za watu vijana jamani tuache kegegedana
Kugegedana sitaacha hadi Uzi huu ufike the END