danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,528
Nyongeza kumbe ni mpaka kwenye watu, duuh. Umetisha mkuuwatu wengine humu duniani ni watu wa nyongeza
Nyongeza kumbe ni mpaka kwenye watu, duuh. Umetisha mkuuwatu wengine humu duniani ni watu wa nyongeza
mkuu wa mkoa dar es salaam nimesoma naeNyongeza kumbe ni mpaka kwenye watu, duuh. Umetisha mkuu
Nae alikua analingana na wewe kwa akili darasani?mkuu wa mkoa dar es salaam nimesoma nae
Nae alikua analingana na wewe kwa akili darasani?
darasani? hamna bwana yeye kwa sababu alikuwa kilaza darasa lao lilikuwa chini ya mtiNae alikua analingana na wewe kwa akili darasani?
Haingii kwa nini sasa?Darasani kwenyewe alikua haingii.
Haingii kwa nini sasa?
sasa si kwa sababu alipenda kushinda kilabuniHaingii kwa nini sasa?
Mbumbumbu? Duuh, makubwa haya. Yani sikua hata na wazo kwamba alikua kilazaSasa ulikua hujui kama ni mbumbumbu?
Mbumbumbu? Duuh, makubwa haya. Yani sikua hata na wazo kwamba alikua kilaza
Aliyetukuka? Duuh, sasa hicho cheo cha ukuu wa mkoa kakipataje?Kilaza aliyetukuka
Aliyetukuka? Duuh, sasa hicho cheo cha ukuu wa mkoa kakipataje?
Kishikaji huko kunachangia sana kurudisha nyuma maendeleo ya taifaKakipataje? We nawe kwani hujui kua wanapeana kishikaji.
Kishikaji huko kunachangia sana kurudisha nyuma maendeleo ya taifa
Viraka hivi havina budi kuzibwa, lakini kwa viongozi wa siku hizi sijaona kama kuna mzibajiTaifa letu limejaa viraka
Viraka hivi havina budi kuzibwa, lakini kwa viongozi wa siku hizi sijaona kama kuna mzibaji
Viraka itabidi viwekwe tu juu ya viraka kama ulivyosema, maana hamna namna nyingine sasaMzibaji aliziba matundu ndio yakawa viraka,
Sasa labda waweke viraka juu ya viraka.
Viraka itabidi viwekwe tu juu ya viraka kama ulivyosema, maana hamna namna nyingine sasa
Gurudumu hilo mmeachiwa wakuu, mshindwe wenyeweSasa ngoja tuwaache na wengine waendeleze gurudumu.