Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kum-quote vibaya mtu ni kosa la kimtandao, na adhabu yake ni kifo nchini China.
 
China wako serious sana na mambo yao ndo maana sio kitu cha ajabu taifa lao na uchumi wao kwa ujumla kukua kwa kasi
 
Kasi aliyo anza nayo tingatinga inaweza kulifikisha taifa letu katika uchumi wa kati.
Kati ni kweli tunaweza fika kiuchumi, ila hiyo itategemea kama hii kasi aliyokuja nayo tingatinga itaendelea
 
Back
Top Bottom