Kimambo jr
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 207
- 67
END ikifika mimi ni mshindiKugegedana sitaacha hadi Uzi huu ufike the END
END ikifika mimi ni mshindiKugegedana sitaacha hadi Uzi huu ufike the END
END ikifika mimi ni mshindi
mshindi ni sabuni ya zamani sana😎😎The END. Uzi umefungwaMimi ndio mshindi😎😎
sana yaan kitambo hii sabuni inanikumbusha mwaka 1966 wakati huo ni mimi tu na baba wa taifa ndo tulikuwa na videomshindi ni sabuni ya zamani sana😎😎
video za enzihizo zilikuwa hazina rangi.sana yaan kitambo hii sabuni inanikumbusha mwaka 1966 wakati huo ni mimi tu na baba wa taifa ndo tulikuwa na video
wagagagigiko aaaah aaaah umenikumbusha mbali mkuu hivi hiki na kile cha hekaya za abunuwas bado vipo?Siasa zinawapeleka vibaya wagagagigikoko
vitafute pia na wewe mkuu tuwape watoto wetu wapunguze kusoma mambo ya udakuVipo kwenye bookstores, kama vipi vitafute.
vitafute pia na wewe mkuu tuwape watoto wetu wapunguze kusoma mambo ya udaku
Soko litaanzaje kukosekana mkuu ilihali siku hizi watoto wadogo kabisa wanaoitwa wa digitali wanaanza kujua ufirauniwapumbavu itakuwa wapo wengi sana ndo mana habari za udaku zina soko
Ufirauni ulikuwepo tangu enzi za Babeli.Soko litaanzaje kukosekana mkuu ilihali siku hizi watoto wadogo kabisa wanaoitwa wa digitali wanaanza kujua ufirauni
babeli enzi hizo ilikuwa nafuu ila kwa sasa ufirauni umesambaa sana bongo ipo kama newyork sio kimaendeleo ila kwa tamadun za freemasonUfirauni ulikuwepo tangu enzi za Babeli.
Freemason wamechangia sana kuharibu tamaduni zetu, maana mengi kati ya yanayoendelea ni mipango yao. Wapuuzi sana hawa watubabeli enzi hizo ilikuwa nafuu ila kwa sasa ufirauni umesambaa sana bongo ipo kama newyork sio kimaendeleo ila kwa tamadun za freemason
watu wengine humu duniani ni watu wa nyongezaFreemason wamechangia sana kuharibu tamaduni zetu, maana mengi kati ya yanayoendelea ni mipango yao. Wapuuzi sana hawa watu