danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,528
Haradani ni mbegu ndogo sana ambayo hata Yesu Kristu aliitolea mfano katika mafundisho yake kuhusu imaniAkili za viongozi wengi wa bongo ni ndogo kama mbegu ya haradani.
Haradani ni mbegu ndogo sana ambayo hata Yesu Kristu aliitolea mfano katika mafundisho yake kuhusu imaniAkili za viongozi wengi wa bongo ni ndogo kama mbegu ya haradani.
Haradani ni mbegu ndogo sana ambayo hata Yesu Kristu aliitolea mfano katika mafundisho yake kuhusu imani
Nimekosea mimi kwenye spelling, badala ya hardali nkaandika haradani. Uko sawa kabisa mkuuImani yangu ni kuwa haradani ni sawia na hardali, au nimekosea?
Ushindi hupewi, labda ushinde lamkonoMwisho wake nipeni tu mimi ushindi.
lamkono wanaliweza ccm tu na si wengineUshindi hupewi, labda ushinde lamkono
wengine ni wezi wengine Malaya wengine wapo wapo tu hapa dunianilamkono wanaliweza ccm tu na si wengine
duniani umewasahau na vibakawengine ni wezi wengine Malaya wengine wapo wapo tu hapa duniani
nini usichokijua kuhusu vibaka katiza mitaa fulani fulani uone watakavyo kufanya.Vibaka kwani huwa wanabaka nini?
nini usichokijua kuhusu vibaka katiza mitaa fulani fulani uone watakavyo kufanya.
Mengi sana unaweza vimbiwaa!
!
Kufanya hadi ujambe inabidi ule maharage mengi
!
!
tumbo kule kwetu tunaiita engoshoke.. na nisipokuwa mshindi leo naandamana mpaka lang'atadapvash olesere bhookinVimbiwa, kama una tumbo kama pipa huwezi vimbiwa ila unaweza pasua tumbo
Bhookin ni neno au jina la lugha gani au mahali gani?au ni dawa??tumbo kule kwetu tunaiita engoshoke.. na nisipokuwa mshindi leo naandamana mpaka lang'atadapvash olesere bhookin
dawa!..naona kwa mwendo huu wa mwisho ni ndoto tukutane 2020 naamini huu uzi utakuwa unaendelea .Bhookin ni neno au jina la lugha gani au mahali gani?au ni dawa??
Unaendelea kutufuatilia tukitafuta mshindi au ndio utaingia tena katika uzi huu 2020?dawa!..naona kwa mwendo huu wa mwisho ni ndoto tukutane 2020 naamini huu uzi utakuwa unaendelea .
Mzuri..ila inachosha sababu wamwisho hapatikaniki tunajipa matumaini kama EL na ndoto za uprezdaa.Unaendelea kwa sabab uzi ni mzuri