Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Huu uzi mwisho wake nini?Mkuu namaanisha kama mimi ni kikongwe kwenye huu uzi sijui jina gani litakufaa wewe maana wewe ni kikongwe zaidi yangu kwenye uzi huu.
Huu uzi mwisho wake nini?Mkuu namaanisha kama mimi ni kikongwe kwenye huu uzi sijui jina gani litakufaa wewe maana wewe ni kikongwe zaidi yangu kwenye uzi huu.
Au wewe unahisi hapo nimeitumia kwa namna nyingine zaidi ya kuwekea mkazo?Tu???umeitumia kuwekea mkazo au
AU tufanye wewe ndo mshindwa.?Tu???umeitumia kuwekea mkazo au
Mkazo niliompa kamwe hatousahau!!Au wewe unahisi hapo nimeitumia kwa namna nyingine zaidi ya kuwekea mkazo?
Hatousahau!! Kwanini umesema hivyo kiongozi?Mkazo niliompa kamwe hatousahau!!
Hatousahau kwani imekuwa hela?Mkazo niliompa kamwe hatousahau!!
Kiongozi yeyote lazima aseme hivyoHatousahau!! Kwanini umesema hivyo kiongozi?
Hivyo unamaanisha hata mimi nkitaka kua kiongozi lazima niseme hivyo pia?Kiongozi yeyote lazima aseme hivyo
Pia? Hii ya kuzungushwa kwa kuchapwa?Hivyo unamaanisha hata mimi nkitaka kua kiongozi lazima niseme hivyo pia?
Pia ngalikihinja anakupotosha..Hivyo unamaanisha hata mimi nkitaka kua kiongozi lazima niseme hivyo pia?
Anakupotosha na wewe pia mkuu, hahahaaPia ngalikihinja anakupotosha..
hahahaa ni dalili ya kufurahi, ebu semu umefurahishwa na nini?Anakupotosha na wewe pia mkuu, hahahaa
Nini? Swali gani hilo unauliza mkuu wakati mwenyewe unaona upotoshaji wakohahahaa ni dalili ya kufurahi, ebu semu umefurahishwa na nini?
Wako kivipi?Nini? Swali gani hilo unauliza mkuu wakati mwenyewe unaona upotoshaji wako
Kivipi? Si kihivyohivyoWako kivipi?
Kihivyohivyo ni neno moja ama mawili?Kivipi? Si kihivyohivyo
Mawili? Mh, mimi naona ni kama moja tu, ila sina uhakikaKihivyohivyo ni neno moja ama mawili?
Uhakika uutoe wapi na wewe umeamua kunisingizia ..Mawili? Mh, mimi naona ni kama moja tu, ila sina uhakika
Kunisingizia mbona hata wewe ni kama ulinisingizia na kunivuruga kwa makusudiUhakika uutoe wapi na wewe umeamua kunisingizia ..