Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,301
- 51,949
Mto ndurumaMsimbazi bonde la mchicha, mtaa au mto..??
Mto ndurumaMsimbazi bonde la mchicha, mtaa au mto..??
Nduruma na nile hii mito ni moja ya fahari zetu waafrikaMto nduruma
Waafrika wana miili mikubwa lakini akili kidogoNduruma na nile hii mito ni moja ya fahari zetu waafrika
Kidogo kiasi gani?Waafrika wana miili mikubwa lakini akili kidogo
Gani kwani hujui?Kidogo kiasi gani?
hujui kuwa huyo Ngalikihinja ana maswali magumu?anataka kulazimisha awe wa mwisho wakati wa mwisho ni mimiGani kwani hujui?
Mimi ndio wa mwishohujui kuwa huyo Ngalikihinja ana maswali magumu?anataka kulazimisha awe wa mwisho wakati wa mwisho ni mimi
mwisho wa huu mchezo nimeota jana mi ndo ntakuwa mshindiMimi ndio wa mwisho
Mshindi ni mimimwisho wa huu mchezo nimeota jana mi ndo ntakuwa mshindi
Mimi je?Mshindi ni mimi
Je? Unataka kuwa wa mwisho?Mimi je?
Mwisho? Mwisho huo veeeepeee wakati mchezo ndo kwanza umeanzaJe? Unataka kuwa wa mwisho?
Umeanza wakati wewe ni kikongwe kwenye huu uzi?Mwisho? Mwisho huo veeeepeee wakati mchezo ndo kwanza umeanza
Uzi huu mbona bado hauna hata dalili ya kufika mwisho mkuu. Kama mimi ni kikongwe kwenye huu uzi na wewe nkuiteje?Umeanza wakati wewe ni kikongwe kwenye huu uzi?
Nikuiteje kivipi mkuu?Uzi huu mbona bado hauna hata dalili ya kufika mwisho mkuu. Kama mimi ni kikongwe kwenye huu uzi na wewe nkuiteje?
Mkuu namaanisha kama mimi ni kikongwe kwenye huu uzi sijui jina gani litakufaa wewe maana wewe ni kikongwe zaidi yangu kwenye uzi huu.Nikuiteje kivipi mkuu?
Huu ni wakati wa kupumzika maana nimechoka. Usini quote tenaMkuu namaanisha kama mimi ni kikongwe kwenye huu uzi sijui jina gani litakufaa wewe maana wewe ni kikongwe zaidi yangu kwenye uzi huu.
Tena ntazidi kuku-quote kuliko ambavyo nlikua nafanya awali, bora hata usingesema, ungepumzika kimya kimya tuHuu ni wakati wa kupumzika maana nimechoka. Usini quote tena
Tu???umeitumia kuwekea mkazo auTena ntazidi kuku-quote kuliko ambavyo nlikua nafanya awali, bora hata usingesema, ungepumzika kimya kimya tu