lowassa hatakaa asahau sauti ya lubuva maishan kwake.😀Jamani hauko peke ako, hata mi kaniweza sana yani ingawa nlikua team lowassa
hela kuzpata n kaz na sio kulala ndani labda uwe na chumaulete kama waswahilipara nasikia ni dalili za kuwa na hela
Original komedi ni kipindi kilichowahi kuvuta hisia za watu wengi sana wakati huoDuniani wanajua tanzania ndo kunawaswahili original
huo ni ushabiki tu, mimi niliwapenda zaidi futuhiOriginal komedi ni kipindi kilichowahi kuvuta hisia za watu wengi sana wakati huo
Futuhi nao walikua wanajitahidi sana, ila kwa mtazamo wangu kina joti walikua juu zaidihuo ni ushabiki tu, mimi niliwapenda zaidi futuhi
Zembwela anabebwe na sautizaidi kuliko max na zumbwela??
Zumbwela?? Nadhani ulitaka kumaanisha zembwelazaidi kuliko max na zumbwela??
Dam dam kivipi..??zembwela nasikia ni ccm dam dam
kijani na njano wana timu kali sana mwaka huu,wataendelea kulizwa tu hawa msimbazikivip? yaani ni mwanachama loyal na ana kadi ya kijani
Kijani ukimaanisha CCM au Yanga..??kivip? yaani ni mwanachama loyal na ana kadi ya kijani
Msimbazi bonde la mchicha, mtaa au mto..??kijani na njano wana timu kali sana mwaka huu,wataendelea kulizwa tu hawa msimbazi