Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mtoto watamweza wapi wakati wao kwa wao wanamegana mpaka vitu fulani vinalala doro
 
Mwisho mzuri mara nyingi huwa unajengwa na mwanzo mzuri, tusitegemee kufika mbali kimaendeleo hapo baadae ilihali viongozi wetu hawajengi misingi mizuri tangu sasa

Sasa hapo umenena, natumai viongozi wetu wa kushtua watakusoma
 
Back
Top Bottom