Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

vyetu hatutengenezi tumekomaa kununua bidhaa fake za china uchizi huu yaan watu wananunua hadi makalio
Makalio makubwa ndo yamekua kama fashion siku hizi, dada zetu wengine wanakataa walivyoumbwa matokeo yake wanatumia dawa za kichina kama ulivyotangulia kusema hapo juu
 
juu ya yote haya mi naona suluhisho kama alivyosema magu tukomae kuanzisha viwanda ili tusiwe shamba la bibi
 
Bibi na babu zetu waliishi maisha mazuri sana wakati huo na hakukua na mambo ya kijinga kama ilivyo sasa. wakati huo kulikua pia na viwanda japo vidogo ambavyo vilisaidia kwa namna moja au nyingine. Cha kushangaza vyote vilikufa na vingine kubinafsishwa. Viwanda ilikua ni moja ya sera ya magufuli, ngoja tuone kama kweli kutakua na mabadiliko
 
Mabadiliko yatokee wapi wakati ccm ni ileile😀😀
 
Back
Top Bottom