manchoso
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 1,605
- 2,058
lowasa kaitikisa ccm na ameonyesha ukomavu ameshindwa kakubali matokeo sasa hawa jamaa zetu mbona hawakubali zenjiJamani hauko peke ako, hata mi kaniweza sana yani ingawa nlikua team lowassa
lowasa kaitikisa ccm na ameonyesha ukomavu ameshindwa kakubali matokeo sasa hawa jamaa zetu mbona hawakubali zenjiJamani hauko peke ako, hata mi kaniweza sana yani ingawa nlikua team lowassa
zenj wanaiweza wazenj wenyewelowasa kaitikisa ccm na ameonyesha ukomavu ameshindwa kakubali matokeo sasa hawa jamaa zetu mbona hawakubali zenji
Wenyewe ni kama imewashinda maana iko wazi maalim kashinda ila wamekua kimya tuzenj wanaiweza wazenj wenyewe
tuliowengi tunaamini hivyo nashangaa ccm wanataka kuutoa mpira wakati ushaingia nyavuniWenyewe ni kama imewashinda maana iko wazi maalim kashinda ila wamekua kimya tu
kimya tu ndo staili yao, tokea 1995 Maalim anashinda kila uchaguzi lakini hapewi ikuluWenyewe ni kama imewashinda maana iko wazi maalim kashinda ila wamekua kimya tu
Ikulu ni mzigo according to mwalimu nyerere, na wala sio sehemu ya kukimbiliwa au kung'ang'aniwa. Inashangaza kuona ccm wanang'ang'ania madaraka, ni kipi hasa wanachotaka kama sio kuendeleza unyonyajikimya tu ndo staili yao, tokea 1995 Maalim anashinda kila uchaguzi lakini hapewi ikulu
umasikini umeletwa na ccm ila hii nchi tajiri sana,sasa bora wapishe wenzao nashangaa wamekuwa vin'gan'ganiziUnyonyaji ndyo chanzo cha umasikini
Unyonyaji ndyo chanzo cha umasikini
umasikini umeletwa na ccm ila hii nchi tajiri sana,sasa bora wapishe wenzao nashangaa wamekuwa vin'gan'ganizi
chadema ndo wameibadili nchi kasi yote hii ya magufuli ni sababu wanaigopa cdm itachukua nchi 2020Ving'ang'anizi ni CHADEMA
chadema ndo wameibadili nchi kasi yote hii ya magufuli ni sababu wanaigopa cdm itachukua nchi 2020
magazine hiyo kutokea ni ngumu labda upate zali umuoe sasha2020 lazima niwepo kwenye Forbes magazine.
kitambo hicho usitudanganye bhana kwa hiyo avatar yako naamini kabis hukudate na sasha ila ni asha ngedereSasha Obama kanyimwa "gwede". Laiti angekuwa nalo, ningesha mpitia kitambo.
ila mkuu huyu mtoto ni mkaree hivi fbi hawamgegedi kweli?mana kutwa nzima ye wanalinda naskia harusiwi hata kuchat katika hizi social media

sana ya wapi mkuu? acha uwongo mi naona fbi ndo watakuwa wanamsocialize huyu mtotoSocial media zipi unazungumzia wakati me nilimblock Fb kitambo sana.