Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Wengi kwelikweli mpaka naliogopa hilo ziwamaji ya ziwa victoria yamekula ndugu zetu wengi
Wengi kwelikweli mpaka naliogopa hilo ziwamaji ya ziwa victoria yamekula ndugu zetu wengi
Ziwa la moto ni baya sanaWengi kwelikweli mpaka naliogopa hilo ziwa
Sana kabisa, ni heri tumrudie Muumba wetuZiwa la moto ni baya sana
😂😂😂 Mkuu mbona unacheka?
unacheka kwa kua hujapoteza nduguMkuu mbona unacheka?
Ndugu walioptea ni wetu sote watanzaniaunacheka kwa kua hujapoteza ndugu
Watanzania wote kwa pamoja tushuhudie hiliNdugu walioptea ni wetu sote watanzania
Hili limetusikitisha mnoWatanzania wote kwa pamoja tushuhudie hili
Kupata kupatikana watu wa Kipowapi,kipo wapi wakat watu wanahangaika hawajui pa kupata
Kupata kupatikana watu wa Kipowapi,
Unachokiringia ni cha muda tu leo unacho kesho hutakuwa nachoKikowapi unachokiringia


Nacho hakiwezi kuwa na thamani tenaUnachokiringia ni cha muda tu leo unacho kesho hutakuwa nacho
Mshindi ni mimi wengine mnajisumbua bureTena nimerudi kwenye uzi wa wa mwisho ndio mshindi
Wanajisumbua bure coz wewe ndo malkia wa huu UziMshindi ni mimi wengine mnajisumbua bure
Uzi umekatika baada ya kutoka katika sindanoWanajisumbua bure coz wewe ndo malkia wa huu Uzi
Sindano achomwe aliejitangazia ushindi wa uzi huuUzi umekatika baada ya kutoka katika sindano
Huu sasa ni uchochezi!Sindano achomwe aliejitangazia ushindi wa uzi huu