Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,309
- 51,971
Taarifa zipo sema wewe ni mvivu wa kufuatilia
Kimenunuliwa !!!! Mbona wananchi hatuna taarifa
Kimenunuliwa !!!! Mbona wananchi hatuna taarifa
Sawa nimeelewa my dadaHajaelewa wapi anatuchora tu,subiri tutaendanae sawa
sawa ila kivuko bado hakijainuliwa ila zoezi linaendeleaHajaelewa wapi anatuchora tu,subiri tutaendanae sawa
Linaendelea ila tutasikia mengi mwaka huusawa ila kivuko bado hakijainuliwa ila zoezi linaendelea
huu mwaka tumepitia mambo km taifaLinaendelea ila tutasikia mengi mwaka huu
Mwaka huu tutasikia mengi yapi?Linaendelea ila tutasikia mengi mwaka huu
Yapi unayotaka kuyajua?Mwaka huu tutasikia mengi yapi?
Kuyajua mengi ni dalili za uogaYapi unayotaka kuyajua?
uoga wake mtu ndio umaskini wakeKuyajua mengi ni dalili za uoga
Wake kwa waumeuoga wake mtu ndio umaskini wake
Waume wa siku hizi ni magumegumeWake kwa waume
Magumegume neno la msimu hili sijui lilipotelea wapiWaume wa siku hizi ni magumegume
Wapi nini? Mbona hueleweki?Wapi????
Hueleweki kama serikali ya jiweWapi nini? Mbona hueleweki?
Jiwe kubwa linaloungwa mkono na wapinzaniHueleweki kama serikali ya jiwe
Wapinzani wa TZ ni waoga sanaJiwe kubwa linaloungwa mkono na wapinzani
Sana lazima waogope, nani anataka kuwa kama Tundu LissuWapinzani wa TZ ni waoga sana
Tundu Lisu ndio shujaa aliebaki kwenye hii NchiSana lazima waogope, nani anataka kuwa kama Tundu Lissu
Nchi ya kitu kidogo, mwenyewe ataiweza kweli?Tundu Lisu ndio shujaa aliebaki kwenye hii Nchi