captain sparrow339
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 288
- 354
Mv nyerere inakisa kikubwa Cha watu wasiojulikana kufariki ndanimoChadema ni chama kilichohusika kuzama kwa Mv nyerere?
Mv nyerere inakisa kikubwa Cha watu wasiojulikana kufariki ndanimoChadema ni chama kilichohusika kuzama kwa Mv nyerere?
Nyerere alikuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaChadema ni chama kilichohusika kuzama kwa Mv nyerere?
Tanzania bara na visiiwaniNyerere alikuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Visiiwani! Nadhani ulikuwa na maana Visiwani, kwenye marashi ya katafuuTanzania bara na visiiwani
Katafuu yaani karafuu!Visiiwani! Nadhani ulikuwa na maana Visiwani, kwenye marashi ya katafuu
karafuu ni zao linalolimwa kwa wingi ktk kisiwa cha zanzibarKatafuu yaani karafuu!
Zanzibar ni njema atakaye na ajekarafuu ni zao linalolimwa kwa wingi ktk kisiwa cha zanzibar
aje ni nyimbo iliyofanya vizuri ya msanii AlikibaZanzibar ni njema atakaye na aje
Alikiba mchezaji wa Coastal Union ya Tangaaje ni nyimbo iliyofanya vizuri ya msanii Alikiba
kweli ndipo yalipozaliwa kwani hujawahi kufika hukoTanga ndo mapenzi yalipizaliwa kweli?
Huko Tanga hakuna mapenzi bali kuna ngonokweli ndipo yalipozaliwa kwani hujawahi kufika huko
ngono ni mto ambao unapatikana africaHuko Tanga hakuna mapenzi bali kuna ngono
Africa ni bara lenye majina ya vitu mbalimbali ya ajabu ajabungono ni mto ambao unapatikana africa
ajabu ni kua haijaingizwa ktk maajabu saba ya duniaAfrica ni bara lenye majina ya vitu mbalimbali ya ajabu ajabu
Dunia ya tatu hii kila kitu ni cha ajabuajabu ni kua haijaingizwa ktk maajabu saba ya dunia
ajabu ni kua Tanzania haipo ktk maajabu hayaDunia ya tatu hii kila kitu ni cha ajabu
Haya maajabu tuliyonayo inamaana hawayaoni?ajabu ni kua Tanzania haipo ktk maajabu haya
Miongoni mwayo lakini kuna mambo mengi ya ya kujivunia.hawayaoni kwa sababu wao pia ni miongoni mwayo