Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Ya kujivunia hapa Tanzania ni yapi hasa?Miongoni mwayo lakini kuna mambo mengi ya ya kujivunia.
Ya kujivunia hapa Tanzania ni yapi hasa?Miongoni mwayo lakini kuna mambo mengi ya ya kujivunia.
hasa ni amaniYa kujivunia hapa Tanzania ni yapi hasa?
Uhuru na kazi ndiyo msingi wa maendeleo ya nchi yetuamani gan wakati hakuna uhuru?
Viporo gani vinavyoachwa na viongoziyetu tunatimiza ila viongozi yakwao wanaacha viporo
Kampeni za kununua wapinzaniviongozi hawatimizi ahadi wanazotoa wakati wa kampeni
Wapinzani hivi wameisha? mbona kasi ya kuunga mkono juhudi za mh.raisi zimepunguaKampeni za kununua wapinzani
Wapinzani hivi wameisha? mbona kasi ya kuunga mkono juhudi za mh.raisi zimepungua
Sijui kwanini pia, labda juhudi za mh.rais nazo pia zimepungua kiasi kwamba hazifai tena kuungwa mkonoZimepungua sana: sijui kwa nn??
Sijui kwanini pia, labda juhudi za mh.rais nazo pia zimepungua kiasi kwamba hazifai tena kuungwa mkono
Umepita tu au umepitia juhudi za mheshimiwaMkono wa shetani umepita
Misiba ya kitaifa anaogopa atararua mioyo ya wahanga badala ya kuwafariji!mheshimiwa jiwe kwa nini hatokei ktk misiba ya kitaifa
Kuwafariji anaweza mbona hajararua mioyo ya ndugu zake alipofiwa na dada akeMisiba ya kitaifa anaogopa atararua mioyo ya wahanga badala ya kuwafariji!
Ake ndio neno gani? ungemalizia neno yake ndio neno sahihiKuwafariji anaweza mbona hajararua mioyo ya ndugu zake alipofiwa na dada ake
Alipofiwa na dadake asingerarua mioyo ya nduguze maana damu ni nzito kuliko majiKuwafariji anaweza mbona hajararua mioyo ya ndugu zake alipofiwa na dada ake
maji ya ziwa victoria yamekula ndugu zetu wengiAlipofiwa na dadake asingerarua mioyo ya nduguze maana damu ni nzito kuliko maji