bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Wakasaza, wakaja wengine nao wakala wakasaza!Nao walikula wakashiba mpaka wakasaza
Wakasaza, wakaja wengine nao wakala wakasaza!Nao walikula wakashiba mpaka wakasaza
Wakasaza, wakaja wengine nao wakala wakasaza!
hahahahaaa watakua walivimbiwaWakasaza na wengine pia nakazia hahaha!
Walivimbiwa wakalala hapohapohahahahaaa watakua walivimbiwa
hapohapo watakua walikata gogoWalivimbiwa wakalala hapohapo
Gogo humalizwa na bandu banduhapohapo watakua walikata gogo
bandu bandu sio neno la kiswahiliGogo humalizwa na bandu bandu
Kiswahili ni lugha ya Taifabandu bandu sio neno la kiswahili
Taifa la TanzaniaKiswahili ni lugha ya Taifa
Tanzania ya ViwandaTaifa la Tanzania
Viwanda vya kimasikiniTanzania ya Viwanda
Masikini hana jeuriViwanda vya kimasikini
Jeuri anakuwa nayo pale kipato kikiwepoMasikini hana jeuri
Kikiwepo kipato au yeye akipata maana kipato kipoJeuri anakuwa nayo pale kipato kikiwepo
kipo wapi wakat watu wanahangaika hawajui pa kupataKikiwepo kipato au yeye akipata maana kipato kipo
Kupata na kukosa yote ni matokeo ya kutafutakipo wapi wakat watu wanahangaika hawajui pa kupata
Kutafuta kitu unapokikosa haimaanishi kama hakipo, kipato kipoKupata na kukosa yote ni matokeo ya kutafuta
Hakitoshelezi kwa sababu ni kidogokipo lkn hakitoshelezi
Kidogo ni kiasi gani?Hakitoshelezi kwa sababu ni kidogo