captain sparrow339
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 288
- 354
Uchochezi wa kukot bila kulikeHuu sasa ni uchochezi!
Uchochezi wa kukot bila kulikeHuu sasa ni uchochezi!
Kulike nashindwa maana wadau hapa mnapoteaUchochezi wa kukot bila kulike
Mnapotea mnaposikia mameno ya mabaharia kwa wazamiaji na kuyakaririKulike nashindwa maana wadau hapa mnapotea
Kuyakariri kivipi?Mnapotea mnaposikia mameno ya mabaharia kwa wazamiaji na kuyakariri
Kivipi huwa niswali la kichochezi sanaKuyakariri kivipi?
Kichochezi sana? Kwanini?Kivipi huwa niswali la kichochezi sana
kwa nini mv nyerere ilizamaKichochezi sana? Kwanini?
Hajapatikana kwa sababu mchezo bado unaendeleaNaona mpaka leo mshindi wa mwisho hajapatikana![]()
Basi mjukuu wangu atakuja kuwa wa mwisho kucomment kwenye huu uziHajapatikana kwa sababu mchezo bado unaendelea
Uzi huu hautakuja kuisha labda memba wa jf waache kuuchangiaBasi mjukuu wangu atakuja kuwa wa mwisho kucomment kwenye huu uzi

Huu uzi una kanuni zake unapaswa uzifuateBasi mjukuu wangu atakuja kuwa wa mwisho kucomment kwenye huu uzi
Uzi huu hautakuja kuisha labda memba wa jf waache kuuchangia![]()
Naomba muongozo Mhe spikaHuu uzi una kanuni zake unapaswa uzifuate
Mh. Spika anasema kanuni za mchezo huu ni kuandika sentensi kwa kuanza na neno la mwisho la mtangulizi wakoNaomba muongozo Mhe spika
Ooh, sorry. Twende kwa kasi sasa!Mh. Spika anasema kanuni za mchezo huu ni kuandika sentensi kwa kuanza na neno la mwisho la mtangulizi wako
Sasa je ...kumbe umeelewaOoh, sorry. Twende kwa kasi sasa!
Umeelewa kwamba kivuko cha MV Nyerere kimeinuliwa?Sasa je ...kumbe umeelewa
Umeelewa wewe, yeye naona bado hajaelewaSasa je ...kumbe umeelewa
Kimenunuliwa !!!! Mbona wananchi hatuna taarifaUmeelewa kwamba kivuko cha MV Nyerere kimeinuliwa?
Hajaelewa wapi anatuchora tu,subiri tutaendanae sawaUmeelewa wewe, yeye naona bado hajaelewa