Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Mshika pembe tena, Oooh nilikosea wewe ni mkamua maziwa, sawa eeeh?Kuna jamaa alikuuliza ukasema mi mshika pembe
Mshika pembe tena, Oooh nilikosea wewe ni mkamua maziwa, sawa eeeh?Kuna jamaa alikuuliza ukasema mi mshika pembe
Ooh bora hvo[emoji23] coz huo ni ukweli .mapembe hunaMshika pembe tena, Oooh nilikosea wewe ni mkamua maziwa, sawa eeeh?
Hio simu yakeHaikupendi nini?
Hiyo simu yake mbovu, hajui tuHio simu yake
Mapembe huna kweliOoh bora hvo[emoji23] coz huo ni ukweli .mapembe huna
Hivi hajui kama wewe unatafuta mumeHiyo simu yake mbovu, hajui tu
Unajidai huelewi eh[emoji23]Mapembe huna kweli
AshanipataHivi hajui kama wewe unatafuta mume
Hivi hajui kama wewe unatafuta mume
Mume mwenyewe haelewekiUnajidai huelewi eh[emoji23]
Kwanini sieleweki ?Mume mwenyewe haeleweki
Kula tanoAfya ni mtaji wa kwanza kwa binadamu
Ila sio kwa kimo
Ashanipata, kwa chakula hiki, simwachi!Ashanipata
Hueleweki kama teuzi za MagufuliKwanini sieleweki ?
Ashanipata
Akaunti yako inasoma sh.ngapi? Una nyumba na gari?Kwanini sieleweki ?
Hahaha[emoji23] uncle ana roho ngumu sanaHueleweki kama teuzi za Magufuli
Nyumba ipo.gari la faza. Account ina pesa za mbogaAkaunti yako inasoma sh.ngapi? Una nyumba na gari?
Magufuli kiboko, anateua leo, kesho anatenguaHueleweki kama teuzi za Magufuli
Sikai nyumba ya urithi, wala situmii gari la familia, pesa ya mboga tu hata mimi ninayoNyumba ipo.gari la faza. Account ina pesa za mboga
Anatengua fasta kama wewe ulivyomteua lucas mobutu na kumtenguaMagufuli kiboko, anateua leo, kesho anatengua