Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,309
nataka nivae gamba maana unaonekana una mambo matamu kama serikali ya chama tawalaKadi ya chama gani? Usinambie unataka uvue gwanda uvae gamba!
nataka nivae gamba maana unaonekana una mambo matamu kama serikali ya chama tawalaKadi ya chama gani? Usinambie unataka uvue gwanda uvae gamba!
Nyoka anavua gamba ila kuna watu wanavaa magambaGamba!!!!? Kuvua gamba ni tendo la kubadili mwonekano wako na kuwa mpya kama anavyofanya nyoka.
Wala hujakosea mkuuMaombi ya kuwa mume, but nikiangalia kwenye files zangu hapa naona kuna kiumbe kinaitwa something like lucas mobutu anadai yeye ndio mmiliki halali

Acha uongo sweetheartMmiliki halali ni mimi mwenyewe huyo kiumbe ni mshika pembe tu!![]()

Something which u get from meNavyohitaji ni mapenzi ya kweli tu, mengine yote yanavumilika

Unaongea na mimi au unangea na simu?Something which u get from me![]()
SimuUnaongea na mimi au unangea na simu?
Simu yako ni aina gani?Simu
ThadtelSimu yako ni aina gani?
Thadtel ni mtandao wa wapi?Thadtel
Ni simu.naipenda sanaThadtel ni mtandao wa wapi?
Unaipenda sana kuliko unavyojipenda?Ni simu.naipenda sana
Ndio.zaidi ya kitu chochote hapa dunianiUnaipenda sana kuliko unavyojipenda?
Duniani kuna mamboNdio.zaidi ya kitu chochote hapa duniani
Yeah mengi sanaDuniani kuna mambo
Watu gani?Yeah mengi sana
Mfano unavonikana mbele za watu
Unaipenda sana lakini inaonekana yenyewe haikupendiNi simu.naipenda sana
Unaipenda sana lakini inaonekana yenyewe haikupendi
mkuu .ni swala la muda tuHaikupendi nini?Unaipenda sana lakini inaonekana yenyewe haikupendi
Kuna jamaa alikuuliza ukasema mi mshika pembeWatu gani?