Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,309
Kukupikia kila siku hilo ondoa shaka, Gari ninayo ila pesa nyingi Tutazitafuta woteMasharti napunguza, uwe na nyumba na pesa. Gari tutanunua wote na wewe ukubali kunipikia kila siku
Kukupikia kila siku hilo ondoa shaka, Gari ninayo ila pesa nyingi Tutazitafuta woteMasharti napunguza, uwe na nyumba na pesa. Gari tutanunua wote na wewe ukubali kunipikia kila siku
Miwaulize tuu mara ngapi? Halafu wewe unakiuka masharti ya huu uzi. Soma vigezo vya hapa kwanzaNiliwapa we waulize tuu![]()
Tutazitafuta wote tukiwa kwenye nyumba yetu au ya kupanga?Kukupikia kila siku hilo ondoa shaka, Gari ninayo ila pesa nyingi Tutazitafuta wote
Kwanza hivi ni wewe uliyemtag, maana anafanya kazi yangu inakuwa ngumuMiwaulize tuu mara ngapi? Halafu wewe unakiuka masharti ya huu uzi. Soma vigezo vya hapa kwanza

Inakuwa ngumu kwasababu ulimwita mwenyeweKwanza hivi ni wewe uliyemtag, maana anafanya kazi yangu inakuwa ngumu![]()
![]()
![]()
Nyumba ya kupanga, coz ya kwangu ipo Mbondole sidhani kama utapaweza kuishiTutazitafuta wote tukiwa kwenye nyumba yetu au ya kupanga?
Kuishi ni popote ili mradi pawe na huduma za jamiiNyumba ya kupanga, coz ya kwangu ipo Mbondole sidhani kama utapaweza kuishi
Nilimwita mwenyewe kweli, Mkuu lucas mobutu nashukuru kwa uwepo wako naomba ukaendelee na kazi zingine za kujenga taifaInakuwa ngumu kwasababu ulimwita mwenyewe
Taifa lenu litajengwa mpaka lini mbona ujenzi hauishi?Nilimwita mwenyewe kweli, Mkuu lucas mobutu nashukuru kwa uwepo wako naomba ukaendelee na kazi zingine za kujenga taifa
Huduma za jamii zipo ila kumekaa kushoto sana, ila kama utavumilia basi tutaishi woteKuishi ni popote ili mradi pawe na huduma za jamii
Ujenzi hauishi kwa sababu ni Taifa maskiniTaifa lenu litajengwa mpaka lini mbona ujenzi hauishi?
Tutaishi wote haina shida maana ukipenda boga unapenda na ua lakeHuduma za jamii zipo ila kumekaa kushoto sana, ila kama utavumilia basi tutaishi wote
Ukipenda boga penda na UA lake, hii misemo ilikuwa inaaply kizazi cha mama zetu lakini sio sasaTutaishi wote haina shida maana ukipenda boga unapenda na ua lake
Sio sasa kwanini?Ukipenda boga penda na UA lake, hii misemo ilikuwa inaaply kizazi cha mama zetu lakini sio sasa
Sio sasa kwa sababu wanawake wa sasa wanajali maslahi yao kwanzaSio sasa kwanini?
Kwanza mawazo/fikra halafu utekelezajiSio sasa kwa sababu wanawake wa sasa wanajali maslahi yao kwanza
Utekelezaji wa majukumu kwa wanaume ndio unaotufanya wanawake kupenda boga na ua lake.Kwanza mawazo/fikra halafu utekelezaji
Ua aina ya Red rose linapendwa sana na wadadaUtekelezaji wa majukumu kwa wanaume ndio unaotufanya wanawake kupenda boga na ua lake.
Wadada wa kizungu, wa kibongo atakwambia unaniletea ua kwani mi nyuki?Ua aina ya Red rose linapendwa sana na wadada
nyuki ndio mtengenezaji wa asaliWadada wa kizungu, wa kibongo atakwambia unaniletea ua kwani mi nyuki?