Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Duniani kumenishinda nahamia pluto
Duniani kumenishinda nahamia pluto
Pluto ni sayari ndogo kuliko zoteDuniani kumenishinda nahamia pluto
Zote ngapi?
Maneno ya nini, tufanyeni kazi
Makosa mangapi umefanya mpaka sasa
Sasa hivi nipo Posta nasubiria DaladalaMakosa mangapi umefanya mpaka sasa
Daladala ya kwenda wapi?
Hivi sasa niko shambani nachuma mboga
Mboga za majani ni nzuri kwa AfyaHivi sasa niko shambani nachuma mboga
Afya ni mtaji wa kwanza kwa binadamu
Sawa wapi wakati kuna binadamu warefu wengine wafupi
Wafupi kama Tausi Mdegela wa Bongo movieSawa wapi wakati kuna binadamu warefu wengine wafupi
Movie gani wapenda?