Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Oven sinaNachoma kwa kutumia oven

Oven sinaNachoma kwa kutumia oven

Oven huna, basi tumia jiko la mkaaOven sina![]()
Mkaa sawaOven huna, basi tumia jiko la mkaa
Sawa, sasa mumeo unampikiaga nini??Mkaa sawa
Nini, mume? Mimi sina mumeSawa, sasa mumeo unampikiaga nini??
Mume huna au hutaki kuolewaNini, mume? Mimi sina mume
Kuolewa nataka ila sijapata wa kunioaMume huna au hutaki kuolewa
Hujapata wa kukuoa kwa nini, au uliyekuwa nae hana mpango??Kuolewa nataka ila sijapata wa kunioa
Mpango tena wakati hayupoHujapata wa kukuoa kwa nini, au uliyekuwa nae hana mpango??
Hayupo!!!!! Kwa hiyo nakaribishwa kuleta maombi???Mpango tena wakati hayupo
Maombi gani?Hayupo!!!!! Kwa hiyo nakaribishwa kuleta maombi???
Maombi ya kuwa mume, but nikiangalia kwenye files zangu hapa naona kuna kiumbe kinaitwa something like lucas mobutu anadai yeye ndio mmiliki halaliMaombi gani?
Mmiliki halali ni mimi mwenyewe huyo kiumbe ni mshika pembe tu!Maombi ya kuwa mume, but nikiangalia kwenye files zangu hapa naona kuna kiumbe kinaitwa something like lucas mobutu anadai yeye ndio mmiliki halali

Mshika pembe Mara nyingi anakuaga mpambe tuu, sasa unaniambiaje ni kweli jimbo halina mgombea nitangaze niaMmiliki halali ni mimi mwenyewe huyo kiumbe ni mshika pembe tu!![]()
Kutangaza nia ni jambo moja, kukatwa au kushinda ni jambo lingineMshika pembe Mara nyingi anakuaga mpambe tuu, sasa unaniambiaje ni kweli jimbo halina mgombea nitangaze nia
Jambo lingine ni weka vigezo unavyohitajiKutangaza nia ni jambo moja, kukatwa au kushinda ni jambo lingine
Navyohitaji ni mapenzi ya kweli tu, mengine yote yanavumilikaJambo lingine ni weka vigezo unavyohitaji
Uvumilivu ndio nguzo ya mafanikio......, sasa uhakika upo maana nataka kurudisha kadi ya chamaNavyohitaji ni mapenzi ya kweli tu, mengine yote yanavumilika
Kadi ya chama gani? Usinambie unataka uvue gwanda uvae gamba!Uvumilivu ndio nguzo ya mafanikio......, sasa uhakika upo maana nataka kurudisha kadi ya chama
Kadi ya chama gani? Usinambie unataka uvue gwanda uvae gamba!