Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Emmyta siku akitandaza mkeka mimi nitauchana"Ukachanika mkeka wangu" ni maneno aliyoyasema yule babu aliyejaribu kubet kama anavyotaka kufanya emmy.
Emmyta siku akitandaza mkeka mimi nitauchana"Ukachanika mkeka wangu" ni maneno aliyoyasema yule babu aliyejaribu kubet kama anavyotaka kufanya emmy.
Rarua mmoja upate miwiliNguvu zimeniisha leo mikeka yangu yote raru raru.
miwili kwani ni muundo wa serikali ya tanzania...Rarua mmoja upate miwili
Serikali ya Tanzania naipenda sanamiwili kwani ni muundo wa serikali ya tanzania...
Sanasana nchi ya TanzaniaSerikali ya Tanzania naipenda sana
tanzania ni nchi inayohitaji demokrasia ya juu pamoja na elimu yenye manufaaSanasana nchi ya Tanzania
Raru raru ndio Kiswahili gani, ama umechanganyikiwa baada ya mikeka kuchanikaNguvu zimeniisha leo mikeka yangu yote raru raru.
Ndoto za abunuasiManufaa bila siasa safi ni ndoto
Abunuasi iv aliotaga ndoto gani?Ndoto za abunuasi
Ndoto gani inayotishaAbunuasi iv aliotaga ndoto gani?
Za kwako zikiwa fupi ni pm nikusaidie.Tumeelewa kwamba za kuambiwa changanya na za kwako
Nikusaidie vipi ili uache kunisakama kwa ndugu na majirani.Za kwako zikiwa fupi ni pm nikusaidie.
Majirani wengi wanokoNikusaidie vipi ili uache kunisakama kwa ndugu na majirani.
Wanoko ndiyo binadamu wengi waliobakia dunianiMajirani wengi wanoko
Duniani kumejaa binadamu wenye roho mbaya tu.Wanoko ndiyo binadamu wengi waliobakia duniani
Tu, tuambie bila ukweli bila kumungunya..!Duniani kumejaa binadamu wenye roho mbaya tu.
Kumungunya, nadhani una maana kumung'unya!Tu, tuambie bila ukweli bila kumungunya..!