life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Kumung'unya siyo kuramba...!!Kumungunya, nadhani una maana kumung'unya!
Kumung'unya siyo kuramba...!!Kumungunya, nadhani una maana kumung'unya!
kuramba unatoa ulimi nje wakati kumung'unya unafumba midomo, unapiga ndani kwa ndaniKumung'unya siyo kuramba...!!
Ndani kuna siri isiyojulikana...kuramba unatoa ulimi nje wakati kumung'unya unafumba midomo, unapiga ndani kwa ndani
Isiyojulikana kama wasiojulikana?Ndani kuna siri isiyojulikana...
wasiojulikana ni watu wasio na utu wala ubinadamuIsiyojulikana kama wasiojulikana?
Uzi huu linakubwa lao !!Ubinadamu kazi sana, wadau hamtaki mie nishinde huu uzi
Lao li nini?Uzi huu linakubwa lao !!
Nini kilichompeleka shemeji kwao...?Lao li nini?
Kwao kuna mchepuko wakeNini kilichompeleka shemeji kwao...?
Wake wa marais wa nchi huitwa First Lady....Kwao kuna mchepuko wake
Lady Morgana wa Marlin bado yupo hivi mana nataka kuoa mie...Wake wa marais wa nchi huitwa First Lady....
Mie sina ushamba huo wa kustaajabu!!Lady Morgana wa Marlin bado yupo hivi mana nataka kuoa mie...
Ukistaajabu ya Mussa ustayaona na firauni, ishu ya madiwani ilivyozimwaMie sina ushamba huo wa kustaajabu!!
Ilivyozimwa taa ya uwani tu ndipo mlango ukabamizwa...!!Ukistaajabu ya Mussa ustayaona na firauni, ishu ya madiwani ilivyozimwa
Mlango ukabamizwa bila kujali nani yupo ndani na nani kabaki nje; hizi ndio ngao zetu.Ilivyozimwa taa ya uwani tu ndipo mlango ukabamizwa...!!
Ngao zetu zilifumuliwa katik apambano uwanjaniMlango ukabamizwa bila kujali nani yupo ndani na nani kabaki nje; hizi ndio ngao zetu.
uwanjani kandanda hatuwezi, siasa hatuwezi hivi sisi tunaweza kitu kipi toba yarabi?Ngao zetu zilifumuliwa katik apambano uwanjani