dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,340
- 16,909
Yarabi Mola tusimsingizie sisi tunajua kujenga lodge na ma guest house tu... shenziuwanjani kandanda hatuwezi, siasa hatuwezi hivi sisi tunaweza kitu kipi toba yarabi?
Yarabi Mola tusimsingizie sisi tunajua kujenga lodge na ma guest house tu... shenziuwanjani kandanda hatuwezi, siasa hatuwezi hivi sisi tunaweza kitu kipi toba yarabi?
Sana itapendeza kama ushindi achukue Kubwa LaoZito lakini haliumi sana
Kustaajab si ajabu kuona watu wameukumbuka uzii huu!Mie sina ushamba huo wa kustaajabu!!
Huu ukosefu wa adabu utapelekea kugombana....Kustaajab si ajabu kuona watu wameukumbuka uzii huu!
Kugombana nani na nani?Huu ukosefu wa adabu utapelekea kugombana....
Nani awezae kumfikia bbc kwa mipasho....!!!Kugombana nani na nani?
Mipasho ndo taarabu auNani awezae kumfikia bbc kwa mipasho....!!!
Au umesha staafu kazi....Mipasho ndo taarabu au
Kazi mbaya lakini uwe nayoAu umesha staafu kazi....
Nayo pia isikutese hadi......Kazi mbaya lakini uwe nayo
Hadi....ndo ujue kwamba unateswa!Nayo pia isikutese hadi......
Unateswa na mapenzi ya Kubwa LaoHadi....ndo ujue kwamba unateswa!
Lao ni Lao tuUnateswa na mapenzi ya Kubwa Lao
Lao ni lao, lipiLao ni Lao tu