Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,117
- 122,526
Rushwa na gris ni maneno mawili yasiyofanana.Gris ni Rushwa?
Rushwa na gris ni maneno mawili yasiyofanana.Gris ni Rushwa?
Yasiyofanana kwa wasiojua fasihi, ila kwa kwa wagukunyuku sisi tumeelewaRushwa na gris ni maneno mawili yasiyofanana.
Kwako kwangu ndio mpangoTumeelewa kwamba za kuambiwa changanya na za kwako
Kwako kwangu lakini kwangu ni kwangu piaTumeelewa kwamba za kuambiwa changanya na za kwako
pia mwaka umekwisha...Kwako kwangu lakini kwangu ni kwangu pia
Rushwa tena me najua gris inalainisha vyuma vilivyokazaGris ni Rushwa?
Umekwisha aisee halafu vichache ya nilivyopanga nivifanye mwaka huu bado sijavimaliza.pia mwaka umekwisha...
vilivyokaza vina madhara makubwa kwa ustawi wa jamiiRushwa tena me najua gris inalainisha vyuma vilivyokaza
Jamii ya huu uzi kwa kweli inanipa furaha sana moyonivilivyokaza vina madhara makubwa kwa ustawi wa jamii
Moyoni mwangu naomba mwaka huu 2017 uishe labda 2018 utakuwa nafuu!Jamii ya huu uzi kwa kweli inanipa furaha sana moyoni
Moyoni mwangu nina amani teleJamii ya huu uzi kwa kweli inanipa furaha sana moyoni
Moyoni anakimbia usoni anatembea .....Jamii ya huu uzi kwa kweli inanipa furaha sana moyoni
Telegram ni mojawapo ya mitandao ya kijamiiMoyoni mwangu nina amani tele
Emmyta kashindwa kutwaa taji la huu uziHayo yote nakubaliana nayo mrembo Emmyta
Anatembeatembea usoni kwako!Moyoni anakimbia usoni anatembea .....
sijavimaliza hata vile nilivyo vianza kuvifanya hakika roho yaniuma..Umekwisha aisee halafu vichache ya nilivyopanga nivifanye mwaka huu bado sijavimaliza.
Roho yaniuma sana kumpoteza rafiki yangusijavimaliza hata vile nilivyo vianza kuvifanya hakika roho yaniuma..