Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Vingi vilikuwa vikwazo vya kijinsiaUchaguzi wa mwenyekiti wa Mapupu uligubikwa na vikwazo vingi
Vingi vilikuwa vikwazo vya kijinsiaUchaguzi wa mwenyekiti wa Mapupu uligubikwa na vikwazo vingi
Ajira zipo nyingi, fuga mende utauza maziwa.Vingi tunavyopitia vijana ni changamoto hasa za ajira
Kijinsia na kikanda ndio tatizo kubwaVingi vilikuwa vikwazo vya kijinsia
Kubwa la maadui mange kimambi ndiyo dawa ya mafisadi.Kijinsia na kikanda ndio tatizo kubwa
Mafisadi wa nchi hii hawajawahi kutiwa gerezaniKubwa la maadui mange kimambi ndiyo dawa ya mafisadi.
Gerezani wataingia tu Lulu na Babu SeyaMafisadi wa nchi hii hawajawahi kutiwa gerezani
Seya ni jina la ndege wa msituni kwa kilugha changuGerezani wtaingia tu Lulu na Babu Seya
changu ni miongoni mwa aina za samakiSeya ni jina la ndege wa msituni kwa kilugha changu
Samaki mkunje angali mbichichangu ni miongoni mwa aina za samaki
Mbichi ni mtoto wa kikeSamaki mkunje angali mbichi
Kike ni jinsia miongoni mwa jinsia za viumbe haiMbichi ni mtoto wa kike
Hai ni moja wapo ya majimbo yanayowindwa kwa nguvuKike ni jinsia miongoni mwa jinsia za viumbe hai
Nguvu nyingi zinatumika kufanya mambo yasiyokuwa na tija kwa taifa loteHai ni moja wapo ya majimbo yanayowindwa kwa nguvu
taifa lote halina muelekeo mpaka sasaNguvu nyingi zinatumika kufanya mambo yasiyokuwa na tija kwa taifa lote
Sasa ni wakati wa kuikomboa nchitaifa lote halina muelekeo mpaka sasa
nchi inahitaji kukombolewa na vijanaSasa ni wakati wa kuikomboa nchi
Vijana wa kuikomboa nchi hii hamna, wote wamekimbilia kwenye mchezo wa kubetinchi inahitaji kukombolewa na vijana
Kubet sijawahi ila nitajaribu nione inakuwajeVijana wa kuikomboa nchi hii hamna, wote wamekimbilia kwenye mchezo wa kubeti
Itakuwaje kama ukibeti siku ya kwanza na mkeka ukachanika.Kubet sijawahi ila nitajaribu nione inakuwaje
"Ukachanika mkeka wangu" ni maneno aliyoyasema yule babu aliyejaribu kubet kama anavyotaka kufanya emmy.Itakuwaje kama ukibeti siku ya kwanza na mkeka ukachanika.