Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
ivi ivi bila huruma dadekiStori tena kubwa; yaani jamaa wameamua kukata deni juu kwa juu ivi ivi
ivi ivi bila huruma dadekiStori tena kubwa; yaani jamaa wameamua kukata deni juu kwa juu ivi ivi
Swali labda tuiulize Tanzania ya viwanda.Tutafika, ila wa style gani hilo ndio swali
majibu hukosekana wakati mwingineswali ni jambo linalohitaji majibu
Mjibu yote ninayo.swali ni jambo linalohitaji majibu
uquote maneno mazuri waliyosema wanasiasa maarufu dunianiMjibu yote ninayo.
Nimeshindwa kuwaelewa mnaposhindwa kufuatilia mchezo hadi post ya mwisho ndio uquote
Kiwanda changu nimekipeleka gerejiMwingine anadai vyerehani vinne ni kiwanda
U quote post ya mwisho, lakini kuna wakati mna type pamoja na ku send pamoja ndio maana sheria ya mchezo inavunjwaMjibu yote ninayo.
Nimeshindwa kuwaelewa mnaposhindwa kufuatilia mchezo hadi post ya mwisho ndio uquote
Kiwanda umewezaje kukipeleka gerejiKiwanda changu nimekipeleka gereji
Gereji Nzuri ni ile ambayo hawauzi oilKiwanda umewezaje kukipeleka gereji
Tanesco ndo umeme unapozalishwa au ni jina la kampuniInavunjwa kama jengo la TANESCO
Oilcom ndio wana bifu na JFGereji Nzuri ni ile ambayo hawauzi oil
Oil chafu ndiyo inayowasumbua CHADEMAGereji Nzuri ni ile ambayo hawauzi oil
CHADEMA ni chama imara cha upinzaniOil chafu ndiyo inayowasumbua CHADEMA
Upinzani wa Tanzania hauna tija bila tume huru ya uchaguzi.CHADEMA ni chama imara cha upinzani
Uchaguzi wa mods wa JF sijui ulifanyika liniUpinzani wa Tanzania hauna tija bila tume huru ya uchaguzi.
Lini umesikia dictator anaruhusu uchaguzi.Uchaguzi wa mods wa JF sijui ulifanyika lini
Uchaguzi wa mwenyekiti wa Mapupu uligubikwa na vikwazo vingiLini umesikia dictator anaruhusu uchaguzi.
Vingi tunavyopitia vijana ni changamoto hasa za ajiraUchaguzi wa mwenyekiti wa Mapupu uligubikwa na vikwazo vingi