Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
taifa ambalo muda mwingine watu tunatamani kulihamaSalama salmin. Ndio tuko kwenye maandalizi ya kwenda kulijenga Taifa.
taifa ambalo muda mwingine watu tunatamani kulihamaSalama salmin. Ndio tuko kwenye maandalizi ya kwenda kulijenga Taifa.
Kulihama sio suluhisho mana watakaobaki bado wataendelea kuisoma namba.taifa ambalo muda mwingine watu tunatamani kulihama
namba zitaendelea kusomeka lakini walau wewe utakua na unafuuKulihama sio suluhisho mana watakaobaki bado wataendelea kuisoma namba.
Unafuu unatakiwa kwetu sote kwa kufanya maamuzi yaliyo sahihi pasi kujali chochote.namba zitaendelea kusomeka lakini walau wewe utakua na unafuu
Chochote kitakachotokea tuwe tayari kukabiliana nachoUnafuu unatakiwa kwetu sote kwa kufanya maamuzi yaliyo sahihi pasi kujali chochote.
Nacho si kingine zaidi ya kupambana na hali zetuChochote kitakachotokea tuwe tayari kukabiliana nacho
Zetu? Hapana labda useme wengi maana kuna wanaoishi kama malaika kwa sasaNacho si kingine zaidi ya kupambana na hali zetu
riziki hupangwa na MunguSasahivi ni muda wa kuelekea kutafuta riziki
Kushindwa kupo kwetu wanadamu kwa kukata tamaa na maisha pasi kupambanaMungu ajawahi kushindwa
Msindikizaji ndio hubeba mizigo.Kupambana bila malengo ni sawa na kuwa msindikizaji.
Huu utawala wa sasa kuushabikia ni sawa na kupamba mavi maua.Msindikizaji ndio hubeba mizigo.
Mimi mzima daderi wangu emmy, ila majukumu yamebana sana wakati huu.
Nipo vyema kabisa ,nachapa kaziAfya tele ni kitu cha muhimu ambacho tunamuombea Tundu Lisu.kweli Dada nakuona upo njema hata mm nipo vyema kabisa
Kazi kazi acha kazi uone kazi kupata kaziNipo vyema kabisa ,nachapa kazi
Kazi kwelikweli kujua binadamu tunataka nini?Kazi kazi acha kazi uone kazi kupata kazi
nini kinatufanya binadamu tuwe hivyo?Kazi kwelikweli kujua binadamu tunataka nini?