Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,108
- 122,495
Pia naomba nikusalimie. Mzima?kinasababisha na jamii yote kuwa hovyo pia
Pia naomba nikusalimie. Mzima?kinasababisha na jamii yote kuwa hovyo pia
Mzima kabisa. Natumai umeamka salamaPia naomba nikusalimie. Mzima?
Salama tu boss. Kwema?Wakuu humu mmeamkaje?
Kwema kabisa za majukumu?Salama tu boss. Kwema?
Majukumu burudani tu. Siku nyingine tena ya kwenda kutafutaKwema kabisa za majukumu?
Kutafuta ni harakati za maisha ya kila sikuMajukumu burudani tu. Siku nyingine tena ya kwenda kutafuta
siku zenyewe naona kama zinakimbiaKutafuta ni harakati za maisha ya kila siku
Miguu hata jongoo anayoZinakimbia kwani zina miguu
Miguu ya kuku ni mitamu kweliZinakimbia kwani zina miguu
kuku kuku tu jogoo jina!Anayo dingimoto miguu ya kuku
Xystus au Sixtus yote ni majinaJina langu ni xystus
Mizani siku hizi imechakachuliwaKipimo kisichokuwa na mizani