Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,106
- 122,492
Hivyo inasababishwa na mambo kuwa mengi na hiyo ndio sababu tushindwe kujua tunachokitaka.nini kinatufanya binadamu tuwe hivyo?
Hivyo inasababishwa na mambo kuwa mengi na hiyo ndio sababu tushindwe kujua tunachokitaka.nini kinatufanya binadamu tuwe hivyo?
tunachokitaka mara nyingi ni kile ambacho hatunaHivyo inasababishwa na mambo kuwa mengi na hiyo ndio sababu tushindwe kujua tunachokitaka.
Hatuna budi kuishi kulingana na vipato vyetutunachokitaka mara nyingi ni kile ambacho hatuna
vipato vyetu vyenyewe haviongezeki miaka nenda rudiHatuna budi kuishi kulingana na vipato vyetu
Nenda rudi huwa nazichukia sana kipindi cha kutafuta kazivipato vyetu vyenyewe haviongezeki miaka nenda rudi
kazi zenyewe hakuna siku hiziNenda rudi huwa nazichukia sana kipindi cha kutafuta kazi
Siku hizi nimebadilika aiseee.kazi zenyewe hakuna siku hizi
aiseee umebadilikaje?Siku hizi nimebadilika aiseee.
Huyu mpendwa inabidi sirize na sisi atuchanyatieyani mimi mwenyewe sielewi amebadilikaje huyu mpendwa
Mpendwa ArleN Kwanini umekimbia ushindi?yani mimi mwenyewe sielewi amebadilikaje huyu mpendwa
Ushindi si wake peke yakeMpendwa ArleN Kwanini umekimbia ushindi?
yake Mungu mengiUshindi si wake peke yake
Mengi ndio Mkurugenzi wa Ipp media.yake Mungu mengi
media zetu siku hizi zimekua hovyoMengi ndio Mkurugenzi wa Ipp media.
Hovyo kabisa na sijajua ni nini huwa kinasababisha.media zetu siku hizi zimekua hovyo
kinasababisha na jamii yote kuwa hovyo piaHovyo kabisa na sijajua ni nini huwa kinasababisha.