Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Mzima wa Afya, lete mupya za JFWana jamii hatujambo bukheri wa afya. Mzima?
Mzima wa Afya, lete mupya za JFWana jamii hatujambo bukheri wa afya. Mzima?
Jf sijazurura bado kuangalia mupya mupya ila najua zitakuwepoMzima wa Afya, lete mupya za JF
Jf sijazurura bado kuangalia mupya mupya ila najua zitakuwepo
Zitakuwepo habari nyingi kuhusu Tanzania na vijimambo vyake vya kila sikuJf sijazurura bado kuangalia mupya mupya ila najua zitakuwepo
Kila siku wasiofahamika wanazidi kuongezeka.Zitakuwepo habari nyingi kuhusu Tanzania na vijimambo vyake vya kila siku
Kuongezeka jua kuwa kali hivi ni nini kimesababishaKila siku wasiofahamika wanazidi kuongezeka.
Nini kimesababisha mpaka huu uzi tunaususia hiviKuongezeka jua kuwa kali hivi ni nini kimesababisha
Hivi mpaka leo mshindi hajapatikana? Sasa atakaechangia tena zaidi yangu nitamsomea albadiruNini kimesababisha mpaka huu uzi tunaususia hivi
Albadiru ilikuwa zamani siku hizi usanii ndio mwingiHivi mpaka leo mshindi hajapatikana? Sasa atakaechangia tena zaidi yangu nitamsomea albadiru
Yangu hoja ni kuwa , huu mjadala ufungwe kwani mimi ndio mshindiMwingi ni jina la babu yake babu yangu
Mshindi hajitangazi mkuuYangu hoja ni kuwa , huu mjadala ufungwe kwani mimi ndio mshindi
Mkuu ni mungu pekee hao wengine ni mbwembweMshindi hajitangazi mkuu
Mbwembwe ni neno linaloshabihiana kimaana na neno madoido.Mkuu ni mungu pekee hao wengine ni mbwembwe
Amani iwe nanyi wote pia. Kaka umeadimika Mzima?Mbwembwe ni neno linaloshabihiana kimaana na neno madoido.
Nimewaham sana humu ndani, wapenzi, amani iwe nanyi nyote.
Mzima buher wa afyaAmani iwe nanyi wote pia. Kaka umeadimika Mzima?
Afya nzuri humfanya mtu kuwa na nguvu za kufanya shughuli mbalimbali za kila siku tushukuru kwa kuwa na afya njema.Mzima buher wa afya
Njema sana!Afya nzuri humfanya mtu kuwa na nguvu za kufanya shughuli mbalimbali za kila siku tushukuru kwa kuwa na afya njema.
Sana pale ambapo mnakumbushana enzi za uhengaNjema sana!
Leo ni siku ya mapumziko, ni muhimu kujipatia muda wa kutembelea ndugu, jamaa na marafiki, kwani kufanya hivyo ni jambo zuri sana
Uhenga ndo kua mzeeSana pale ambapo mnakumbushana enzi za uhenga