bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Uhenga ndo kua mzee
Mzee manaake amekula chumvi nyingi
Uhenga ndo kua mzee
Nyingi na kuona mambo mengiMzee manaake amekula chumvi nyingi
Mengi ni nani vileNyingi na kuona mambo mengi
Vile vile nikukumbushe kuwa huu mchezo hauna mshindiMengi ni nani vile
Dwac hawezi kushinda, tupo wengi wapambanaji hapaMshindi yupo fasi dwac
Dwac ni maneno ya mtaaaMshindi yupo fasi dwac
Mtaaa upi hasa, habarini za asubuhi?Dwac ni maneno ya mtaaa
Hapa nimeamini wapambanaji mpo.Dwac hawezi kushinda, tupo wengi wapambanaji hapa
Mpo kweli humu?....Hapa nimeamini wapambanaji mpo.
humu ndani sijaingia muda nimepamiss kweliMpo kweli humu?....
Kweli hata mie nimepamiss ndio mana nimedamkia humu. Mzima?...humu ndani sijaingia muda nimepamiss kweli
Mzima mimi, hofu kwakoKweli hata mie nimepamiss ndio mana nimedamkia humu. Mzima?...
Kwako kama kwangu yaani ni shwari kabisa.Mzima mimi, hofu kwako
Kabisa ni furaha moyoni mwanguKwako kama kwangu yaani ni shwari kabisa.
kabisa? Naona umedamka mapema sana leo. Nashukuru Mungu mi pia nimeamka salamaKwako kama kwangu yaani ni shwari kabisa.
Salama salmin. Ndio tuko kwenye maandalizi ya kwenda kulijenga Taifa.kabisa? Naona umedamka mapema sana leo. Nashukuru Mungu mi pia nimeamka salama