èj
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyote nami nawaombea muwe na usiku mwema, ila nawe God heals hiyo avatar yako, mmmm!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyote nami nawaombea muwe na usiku mwema, ila nawe God heals hiyo avatar yako, mmmm!
Mkuu vipi tena,
Sheria zake wala sio ngumu ila watu wanajiwehusha saa nyingineMkuu vipi tena,
Tamaduni za uzi zifuatwe pamoja nazake sheria.
Nyingine ipi dada...?Sheria zake wala sio ngumu ila watu wanajiwehusha saa nyingine
Dada yako mzima wa afya kabisa. Za mihangaiko?Nyingine ipi dada...?
Mihangaiko yataka uhangaike eti!Dada yako mzima wa afya kabisa. Za mihangaiko?
Eti nasikia Wewe ni mtu mwenye tele furaha.Mihangaiko yataka uhangaike eti!
Furaha tu si haba,Mwenyezi Mungu kanipa uhai, kanipa afya, kanipa pa kupatia riziki na mengine mengi bure tu, nadhani nastahili kuwa na furaha.Eti nasikia Wewe ni mtu mwenye tele furaha.
Sana. Ila msimtolee macho mdogo wangu..Anapendeza kwakweli nasura yake mzuri sana
Wangu hauna uthibitisho wowote.Sana. Ila msimtolee macho mdogo wangu..
Maantiki ya uzi huu ni nini hasa, kucheza tu au kuchezeana!Wowote utakaoletwa mahakama itaupima kama una maantiki
Kuchezeana sehemu ya kazi huwa sipendiMaantiki ya uzi huu ni nini hasa, kucheza tu au kuchezeana!
Sipendi kucheza wakati wa kazi!Kuchezeana sehemu ya kazi huwa sipendi
Kazi ni kazi. Mzima?..Sipendi kucheza wakati wa kazi!
Mzima, kumekucha. Unawahi kulala na pia unawahi kuamka, safi sana emmyKazi ni kazi. Mzima?..
Emmy analala saa mbili akichelewa saa tatu. Ila umejuaje bbc..Mzima, kumekucha. Unawahi kulala na pia unawahi kuamka, safi sana emmy