Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,110
- 122,503
Kila uchwao afadhali ya janaUhakika wa angalau 90% ya maji safi na salama ndio tunàouhitaji kwanza. Tuachane kushirikiana maji pamoja na wanyama, mithili ya kuruti ndani ya "six week", bei ya mafuta ya taa ishuke pia, (n.k) iwe rafiki ya bibi yangu aliyeko kule Lusala.
Baada/sanjali na hapo ndio umeme ufuate baada kidogo ya maji kunyanyua mguu. Hapo tutaifurahia Tanganyika angalau tunayoiota kila uchwao.
