Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Mpira ni moja ya starehe zanguKidimu kati, dah nakumbuka enzi za kukimbia shule kwenda kucheza mpira
Mpira ni moja ya starehe zanguKidimu kati, dah nakumbuka enzi za kukimbia shule kwenda kucheza mpira
Starehe zangu we utasubiri sanaMpira ni moja ya starehe zangu
Sana sana huwa sipendi chai na mkateStarehe zangu we utasubiri sana
Jamii Forums mobile app
Pia maharage sipendeleiChai na mkate tu au supu pia
Jamii Forums mobile app
Sipendelei mtu anechagua sana vyakulaPia maharage sipendelei
Vyakula vya protein na wanga ni Muhimu sana kwenye mwiliSipendelei mtu anechagua sana vyakula
Jamii Forums mobile app
Kinoma ndio ugonjwa gani? Kumekucha wanaJF twende kutafuta rizikiMwili wangu umekonda kinoma
Jamii Forums mobile app
Riziki yako ni yako hawezi kuichukua mwingineKinoma ndio ugonjwa gani? Kumekucha wanaJF twende kutafuta riziki
Mwingine nimekuja niwasalimie. wazima?Riziki yako ni yako hawezi kuichukua mwingine
Jamii Forums mobile app
Salama Sakayo nsa![]()
![]()
![]()
![]()
Jamii Forums mobile app
hapo mwisho Sijui ulitaka kumaanisha nini, mie mzimaMzima, twende mitaani kutafuta![]()
hapo mwisho Sijui ulitaka kumaanisha nini, mie mzima
Mzima wewe, mimi huwa napenda kukutania kutokana na hilo jina lako, sasa kuna mtindo flani wa rhumba ulikuwa unaitwa SAKAYONSA![]()
hapo mwisho Sijui ulitaka kumaanisha nini, mie mzima
Kutafuta ni lazima, miee nshatoka kitaamboMzima, twende mitaani kutafuta