Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mzima sana, japo nakuwaza wewe uliyembali na upeo wa macho yangu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yangu maamkizi nawasalimuni
Nilivyofundishwa nyumbani wakubwa shikamooni
Kwa wale wadogo zangu nauliza muhali gani
Jumapili ni njema ashukuriwe manani.
Kwangu kumekucha vyema nimeingia jamvini

You get what you work for not What you wish for
 
Jamvini humu nikitoka hata for two hrs sijisikii raha
 
Back
Top Bottom