bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
bbc kakusoma mwenendo wako!Emmy analala saa mbili akichelewa saa tatu. Ila umejuaje bbc..
bbc kakusoma mwenendo wako!Emmy analala saa mbili akichelewa saa tatu. Ila umejuaje bbc..
Mwenendo wako nauona tu. Hivyo ukiona kimya unajua nshalala tayari.bbc kakusoma mwenendo wako!
Tayari ushaanza emmy, si lazima kuna majukumu mengine wawezakuwa unafanya badala ya kulala!Mwenendo wako nauona tu. Hivyo ukiona kimya unajua nshalala tayari.
Kulala muda huo nakuwa nimeshayafanya muda tangu saa 17:00hrs ninavyorudi nyumbani hivyo ikifika saa 20:00hrs nakuwa yameshaisha hivyo sina budi kulala na kuisubiri siku inayofuataTayari ushaanza emmy, si lazima kuna majukumu mengine wawezakuwa unafanya badala ya kulala!
Kulala muda huo nakuwa nimeshayafanya muda tangu saa 17:00hrs ninavyorudi nyumbani hivyo ikifika saa 20:00hrs nakuwa yameshaisha hivyo sina budi kulala na kuisubiri siku inayofuata
Tena wala sisubiri aiseeInayofuata ndo Hii sasa usisubiri tena
Aisee nimekumissTena wala sisubiri aisee
Nimekumiss pia kaka ake. Mzima?Aisee nimekumiss
Mzima kabisa...! Za miparangano?Nimekumiss pia kaka ake. Mzima?
Mzima kaka yetu sote Munfu amlinde na kumfanyia wepesi.Nimekumiss pia kaka ake. Mzima?
Miparangano tunaenda nayo hivyo hivyo mana haikwepekiMzima kabisa...! Za miparangano?
Haikwepeki kabisa yaani, ila lazima tutoboeMiparangano tunaenda nayo hivyo hivyo mana haikwepeki
Lazima tutoboe kaka ake na hatupaswi kukata tamaaHaikwepeki kabisa yaani, ila lazima tutoboe
Kukataa Tamaa ni dhambi..Lazima tutoboe kaka ake na hatupaswi kukata tamaa
Ni dhambi kabisa. Na kukata tamaa ndio mwanzo wa kutaka kuwa tegemezi.Kukataa Tamaa ni dhambi..
Tegemezi jitu zima linaishi nyumbani kwa dada yakeNi dhambi kabisa. Na kukata tamaa ndio mwanzo wa kutaka kuwa tegemezi.
Dada yake naye karidhika wala hana wasiwasiTegemezi jitu zima linaishi nyumbani kwa dada yake
hana wasiwasi ila anababaikia hongoDada yake naye karidhika wala hana wasiwasi
Anababaikia hongo kama yule muuza uji wa pale kidimu
Kidimu kati, dah nakumbuka enzi za kukimbia shule kwenda kucheza mpiraAnababaikia hongo kama yule muuza uji wa pale kidimu