Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,096
- 122,458
Ubara ndio nini kaka ake. Mzima?Darasani nilikuwa nakula sana sahani moja na namba za viatu vyangu.
Mmeamkaje watanga tuliochoka na nyika na wazee wa nji msi outaka ubara.....
Ubara ndio nini kaka ake. Mzima?Darasani nilikuwa nakula sana sahani moja na namba za viatu vyangu.
Mmeamkaje watanga tuliochoka na nyika na wazee wa nji msi outaka ubara.....
Mzima sana daderi ake, napambana tu na mtandao huku, na baridi. Ubara ni utanganyika huo daderi wangu!Ubara ndio nini kaka ake. Mzima?
Habari poa kabisa kaka na uzima upo.Mzima sana daderi ake, napambana tu na mnatandao huku, na baridi. Ubara ni utanganyika huo daderi wangu!
Nipe habari, upo poa
Upo pande zipi now daderi wanguHabari poa kabisa kaka na uzima upo.
Wangu kaka unataka nimwage mchele jamani. Nipo kaka najenga TaifaUpo pande zipi now daderi wangu
Taifa la Viwanda naisubiri kwa hamu sana hadi nakosa usingiziWangu kaka unataka nimwage mchele jamani. Nipo kaka najenga Taifa
Nakosa usingizi nikikumbuka zile Noah ujueTaifa la Viwanda naisubiri kwa hamu sana hadi nakosa usingizi
Ujue mimi nishajifunza kuendeshaNakosa usingizi nikikumbuka zile Noah ujue
Kuendesha kabisaa. Una moyo mdogo wangu. Enhe leseni ushaipata tayariUjue mimi nishajifunza kuendesha
Tayari hilo jambo nalifanyia kazi, maana mazungumzo yamekaribia kumalizikaKuendesha kabisaa. Una moyo mdogo wangu. Enhe leseni ushaipata tayari
Kumalizika pasi kuwa na malalamiko huwa haiwezekaniTayari hilo jambo nalifanyia kazi, maana mazungumzo yamekaribia kumalizika
haiwezekani kuwa na taifa la viwanda bila umeme wa uhakikaKumalizika pasi kuwa na malalamiko huwa haiwezekani
Uhakika hauwezi kupatikana kwa sababu ahadi nyingi zimekuwa hewa.haiwezekani kuwa na taifa la viwanda bila umeme wa uhakika
hewa safi hupatikana zaidi maeneo yaliyo nje ya mijiUhakika hauwezi kupatikana kwa sababu ahadi nyingi zimekuwa hewa.
Miji mingi ya Tanzania bado haijapata maendeleo yanayotakiwahewa safi hupatikana zaidi maeneo yaliyo nje ya miji
Uhakika wa angalau 90% ya maji safi na salama ndio tunàouhitaji kwanza. Tuachane kushirikiana maji pamoja na wanyama, mithili ya kuruti ndani ya "six week", bei ya mafuta ya taa ishuke pia, (n.k) iwe rafiki ya bibi yangu aliyeko kule Lusala.haiwezekani kuwa na taifa la viwanda bila umeme wa uhakika