Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Nini sababu ya umasikini,mosi miundombinu mibovu,elimu mbovu na sekta mbovu za Afya na sera mbovu za serikali husika..pili wananchi husika wa eneo hilo ,zipo sababu nyingi tu.

Wewe waona zipi sababu za umasikini...?
Umasikini tusiujadili sana mana hauna dalili ya kuisha. Leo nimeamini mambo tunayoyafanya kila kukicha kuna mengine huwa yanajirudia umekumbuka?...
 
Nini sababu ya umasikini,mosi miundombinu mibovu,elimu mbovu na sekta mbovu za Afya na sera mbovu za serikali husika..pili wananchi husika wa eneo hilo ,zipo sababu nyingi tu.

Wewe waona zipi sababu za umasikini...?
Umasikini husababishwa na mtu kuzaliwa ktk umasikini
 
Dunia duara kweli kabisa. Hahaaa. Kumbe we ulishasahau mi nilivyoona neno umasikini tu nikakumbuka.
Nikakumbuka kipindi kile nafundishwa kitabu cha watoto wa mama ntilie mwalimu alikuwa mkali..kumbukumbu ipo ya neno umasikini lakini yakukuuliza sababu za umasikini nilikuwa sina.

Hahaha ni furaha.
 
Back
Top Bottom