Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Tulijue wote ngoja nikwambie. Mwifwa alipita sehemu watu akakuta watu wanajadili kuhusu wanaume kuwahudumia wanawake. Mi baada ya kumuona nikamuuliza kwani we mdogo wangu uhudumii. Basi baada ya swali lile akakimbia na kukimbia sikumuona tena
Tena swali kama hilo alitakiwa kujibu kwa ufasaha. Labda anatafuta majibu sahihi zaidi msubiri anajipanga kulijibu
 
Tulijue wote ngoja nikwambie. Mwifwa alipita sehemu watu akakuta watu wanajadili kuhusu wanaume kuwahudumia wanawake. Mi baada ya kumuona nikamuuliza kwani we mdogo wangu uhudumii. Basi baada ya swali lile akakimbia na kukimbia sikumuona tena
Tena ni bora tu atuambie hapa hapa.
Bi dada lakini waranda sana. Uko kwengine tunatafuta
 
Back
Top Bottom