Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,095
- 122,457
Aisee mambo vipi..Sana aise
Aisee mambo vipi..Sana aise
Vipi ushajua maana ya desaAisee mambo vipi..
Desa? Bado james niambie basi..Vipi ushajua maana ya desa
Basi na mimi nikamwona ..Desa? Bado james niambie basi..
Nikamwona halafu nikampotezea kama simjui vileBasi na mimi nikamwona ..
Vile-vile nikaamsha popoNikamwona halafu nikampotezea kama simjui vile
Ndege anaweza kuwa mnyama au kifaa cha usafiriPopo ni mnyama lakini ana sifa chache kama ndege
Usafiri wa ungo kwa hadithi zake, hunistaabisha sana.Ndege anaweza kuwa mnyama au kifaa cha usafiri
Sana, hasa ukifikiria umekaa kwenye ungo halafu ungo huo unapaa hewani!!Usafiri wa ungo kwa hadithi zake, hunistaabisha sana.
Hewani mpo mara majita nao wanapita vuuuup! Hata bila kuwasha "indicator" hahahaha ni hatari sanaSana, hasa ukifikiria umekaa kwenye ungo halafu ungo huo unapaa hewani!!
Sana mkuuHewani mpo mara majita nao wanapita vuuuup! Hata bila kuwasha "indicator" hahahaha ni hatari sana
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro anaitwa Anna mghwira, ni mmoja kati ya viongozi wachache sana wa kike kuwahi kukubalika ndani ya muda mfupi.Sana mkuu
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro anaitwa Anna mghwira, ni mmoja kati ya viongozi wachache sana wa kike kuwahi kukubalika ndani ya muda mfupi.
hakuna Mungu kama wewe, hakuna na hatokuwepoMfupi zaidi ya mbilikimo hakuna
Hatokuwepo wa kudai ushindi bila kutangazwa na muanzilishihakuna Mungu kama wewe, hakuna na hatokuwepo
Watu8 si muazilishi ila WambuziMuanzilishi kapotea Watu8
Wambuzi kapotelea wapi?Watu8 si muazilishi ila Wambuzi