James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,194
- 15,541
Bana, Bensoni ni mhadhiri mwandamizi kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.Vizuri ikitokea akafafanua. Akhy D mi sitembei sana bana.
Bana, Bensoni ni mhadhiri mwandamizi kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.Vizuri ikitokea akafafanua. Akhy D mi sitembei sana bana.
Dar es Salaam bandari ya salamaBana, Bensoni ni mhadhiri mwandamizi kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.
Salama salimini, nimecheka sana kuona mnanijadili, na mimi nimekuwa na kiki kidogo kama wengine.Dar es Salaam bandari ya salama
Wengine wanajadili kwa negative sisi tumejadili positively lakini.Salama salimini, nimecheka sana kuona mnanijadili, na mimi nimekuwa na kiki kidogo kama wengine.
sasa si mbadilishe mada jamaSiyo kama ulivyoelewa mwanzo. Nilimaanisha hivyo sasa
Lakini haliwezi kuharibika jambo, ni ukweli mtupu uliosemwa na emmytaWengine wanajadili kwa negative sisi tumejadili positively lakini.
Jamaa nasikia yupo mkoa wa Tanga leosasa si mbadilishe mada jama
Kinyume ? Kwanini
Sheria ya huu uzi inafutwa vizuri mbona
Yake akili anaijua mwenyewe yule aliyevuruga. Mi sijambo kaka mzima?
Mzima wa afya.Yake akili anaijua mwenyewe yule aliyevuruga. Mi sijambo kaka mzima?
Afya yangu njema kabisa. Vp wewe keyon uko poa...Mzima wa afya.
Poa kabisa, nipo vizuri sana emmyta...! naona unasonga vyema huu Uzi.Afya yangu njema kabisa. Vp wewe keyon uko poa...
Uzi wa Wambuzi. Mi sikauki humu hadi nashangaa.Poa kabisa, nipo vizuri sana emmyta...! naona unasonga vyema huu Uzi.
Nashangaa hata mimi,Kuna vitu vingine ni ngumu kuacha unajikuta unataka tena na tena...hakika vipo vingi vya utamu.Uzi wa Wambuzi. Mi sikauki humu hadi nashangaa.
Utamu wa jf haujawahi kuiacha chaji ya simu salama.Nashangaa hata mimi,Kuna vitu vingine ni ngumu kuacha unajikuta unataka tena na tena...hakika vipo vingi vya utamu.