Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Muhenga ni kuanzia miaka mingapi kwani [emoji12] .Jidanganye tu kelvin muulize mdogo wangu Mwifwa akwambie mi nilivyokula chumvi ninaelekea 50 sasa. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sasa naona umeamua kunichota kabisa ,wahenga wa kisasa tunaanzia miaka thelathini zikiwemo busara na hekima za kutosha ndani yake
 
Back
Top Bottom