Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,117
- 122,526
Jamani hatujambo my wi. Pole na mihangaiko..Wote humu wazima jamanii
Jamani hatujambo my wi. Pole na mihangaiko..Wote humu wazima jamanii
Mihangaiko iko poa, asante my wii... Umepotea mnooJamani hatujambo my wi. Pole na mihangaiko..
Mnoo umeadimika ujue. Nipo my wi na ni mzima wa afya teleMihangaiko iko poa, asante my wii... Umepotea mnoo
Afya tele!! Una uhakika wewe ni mzima wa afya tele?Mnoo umeadimika ujue. Nipo my wi na ni mzima wa afya tele
Afya tele kama unayoo ni kumshukuru MunguMnoo umeadimika ujue. Nipo my wi na ni mzima wa afya tele
Mungu Alikuumba Kweli Sakayo Kwa Namna Ya Kipekee Tazama Ulivyo MremboAfya tele kama unayoo ni kumshukuru Mungu
Mrembo tena jamanii... Asante ila nimependa huyo mtotoMungu Alikuumba Kweli Sakayo Kwa Namna Ya Kipekee Tazama Ulivyo Mrembo
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Mtoto uleavyo ndivyo akuavyoMrembo tena jamanii... Asante ila nimependa huyo mtoto
Bana leo nimeamka na mzuka, ila ngoja nisalimie wadau. Habari za leo humu ndani wapendwaaaTena! Haya banaaa 😛😛😛
Wapendwa tumependelewa, kwangu na familia wote tumeamk salama.Bana leo nimeamka na mzuka, ila ngoja nisalimie wadau. Habari za leo humu ndani wapendwaaa
Salama salmini, Mungu ni mwaminifu kwa kweliWapendwa tumependelewa, kwangu na familia wote tumeamk salama.
Kwa kweli upendo wake hauna kifani kwetu, umetukuka upeoSalama salmini, Mungu ni mwaminifu kwa kweli
Upeo wake Ni Wa Ajabu Sana Wazidi Vilele Vya milima Hata Vina Vya BahariKwa kweli upendo wake hauna kifani kwetu, umetukuka upeo
Bahari ilivyo na mawimbi yaletayo upepo ufukweni, ndivyo NEEMA zake zisizo na idadi azimiminavyo kwetu waja wake.Upeo wake Ni Wa Ajabu Sana Wazidi Vilele Vya milima Hata Vina Vya Bahari
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
wake za watu wengi wa kibongo hawana elimu kisa lile tamko la Mzee Yule.Bahari ilivyo na mawimbi yaletayo upepo ufukweni, ndivyo NEEMA zake zisizo na idadi azimiminavyo kwetu waja wake.
Yule Aliyesema Hasomeshi Wazaziwake za watu wengi wa kibongo hawana elimu kisa lile tamko la Mzee Yule.
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Wazazi ni watu wa muhimu sana