Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Wewe ndo ulinitia hofu. Mimi mzima kabisa. Maana hata pm hukawa hunijibuUko poa weye. Nisamehe shoga angu kuna siku mbili tatu mambo yalikuwa yamebana kidogo ila sijambo sijui wewe.
Wewe ndo ulinitia hofu. Mimi mzima kabisa. Maana hata pm hukawa hunijibuUko poa weye. Nisamehe shoga angu kuna siku mbili tatu mambo yalikuwa yamebana kidogo ila sijambo sijui wewe.
Hunijibu wewe Linamo. Njoo basi rafiki tuongee. Nimekumiss vibaya..Wewe ndo ulinitia hofu. Mimi mzima kabisa. Maana hata pm hukawa hunijibu
Humu kwema. Mzima?Kwema humu
Mzima mimi ila cjui wewe mtto mzuri emmytaHumu kwema. Mzima?
Emmyta hajambo, bukheri wa afya tele.Mzima mimi ila cjui wewe mtto mzuri emmyta
tele kama makinikiaEmmyta hajambo, bukheri wa afya tele.
Tele""namimi nimefrahi sikia hivyo mremboEmmyta hajambo, bukheri wa afya tele.
Makinikia si ndio ule mchangatele kama makinikia
Tele kama pishi la wali!!Emmyta hajambo, bukheri wa afya tele.
Wali waliwa leo nyumbani kwangu, karibu sana bbc. Mzima.Tele kama pishi la wali!!
Afya nimejaaliwa, sijui huo wali kwako waliwa na nini!Mzima wa Afya
Nini kimekusibu emmyta mpaka ukawa kimya hivyo ndiyo kusema umeanza kuula wali wako!Wali waliwa leo nyumbani kwangu, karibu sana bbc. Mzima.
Wali wako kwani umeelewaje bbc jamani. Nasemea ubwabwa mieNini kimekusibu emmyta mpaka ukawa kimya hivyo ndiyo kusema umeanza kuula wali wako!
Mie nisijeonekana mchokozi bure, nimeelewa kama ulivyoandika, wali unaotokea baada ya kupika mchele, au siyo?Wali wako kwani umeelewaje bbc jamani. Nasemea ubwabwa mie
Siyo kama ulivyoelewa mwanzo. Nilimaanisha hivyo sasaMie nisijeonekana mchokozi bure, nimeelewa kama ulivyoandika, wali unaotokea baada ya kupika mchele, au siyo?
Sasa hivi ni saa nane na dakika arubaini na sitaSiyo kama ulivyoelewa mwanzo. Nilimaanisha hivyo sasa
Sitasahau siku ya kwanza ku comment jfSasa hivi ni saa nane na dakika arubaini na sita