Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,096
- 122,458
Mdogomdogo lakini unawaudhi badoUhakiki mkubwa uliishapita sasa umebaki mdogomdogo
Mdogomdogo lakini unawaudhi badoUhakiki mkubwa uliishapita sasa umebaki mdogomdogo
UPINZANI UMERUDI NYUMA MIAKA 30....kwani unaonekana ni BWAWA LA KUZALISHIA MAYAI YA MAFISADI kama sio CHAKA LA KUFICHA WATUMIA MIHADARATI au KUTETEA WAFANYABIASHARA WAKWEPA KODI NA ACACIA MAKINIKIAHabari wanaJF,
Nnaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi
Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku
Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio
Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari
Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)
Bado ratiba imenibana sana kama koti la Muungano kwa wazanzibariMdogomdogo lakini unawaudhi bado
Bado "wachezaji" wa "Wa mwisho ndiye mshindi" wanakiuka taratibu.Mdogomdogo lakini unawaudhi bado
Taratibu wanaziua ila wanafanya makusudiBado "wachezaji" wa "Wa mwisho ndiye mshindi" wanakiuka taratibu.
Makusudi ukifanya tunakupuuza, na hatuqoute post yakoTaratibu wanaziua ila wanafanya makusudi
Post yako hatuquote kweli kabisa ukienda nje ya utaratibu na ndio inakuwa dawa yao.Makusudi ukifanya tunakupuuza, na hatuqoute post yako
Yaongezwe masaa ya kufanya kaziPost yako hatuquote kweli kabisa ukienda nje ya utaratibu na ndio inakuwa dawa yao.
Kazi zenyewe ngumu wacha tu yabaki hayo hayoYaongezwe masaa ya kufanya kazi
Hayo marupurupu mimi sijapataKazi zenyewe ngumu wacha tu yabaki hayo hayo
Hayo masaa yakiongezwa na wabongo walivyo wavivu wataishia kulalama tu.Kazi zenyewe ngumu wacha tu yabaki hayo hayo
Kulalama tumezowea na ni jambo la kawaida kwa WatanzaniaHayo masaa yakiongezwa na wabongo walivyo wavivu wataishia kulalama tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wengi Tunaisoma namba emmytaKulalama tumezowea na ni jambo la kawaida kwa Watanzania
Watanzania ni wavimilivu sanaKulalama tumezowea na ni jambo la kawaida kwa Watanzania
Emmyta anakusalimia hajambo kabisa anapiga kazi licha ya kuisoma nambaWatanzania wengi Tunaisoma namba emmyta
Namba yako emmyta naitafuta kwa udi na uvumba ingawa sina mavumba"Emmyta anakusalimia hajambo kabisa anapiga kazi licha ya kuisoma namba
Mavumba hayo ya samaki ama?Emmyta hatumii simuNamba yako emmyta naitafuta kwa udi na uvumba ingawa sina mavumba"
Hatumii simu hata ya mezani?Mavumba hayo ya samaki ama?Emmyta hatumii simu
Simu kama hutumii nipe Sanduku la posta" nimedhamiria nielewe mtoto wa mke mwenzioMavumba hayo ya samaki ama?Emmyta hatumii simu