Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,182
Jf siku ya kwanza ulicomment niniSitasahau siku ya kwanza ku comment jf
Jf siku ya kwanza ulicomment niniSitasahau siku ya kwanza ku comment jf
Nini kilitokea siku ya kwanza ku-comment JF?Jf siku ya kwanza ulicomment nini
Siku ya kwanza ku comment jf nilitetemeka na kudhani ningezodolewa kwa nilichoandika kumbe sivyo.Nini kilitokea siku ya kwanza ku-comment JF?
JF ni forum ya jamiiNini kilitokea siku ya kwanza ku-comment JF?
Humu ndani leo kumesuswa hata sijui ni kwa nini?...Jamii tuliyopo ni ngumu kuielewa. Japo mali asili ni nyingi pamoja na madini lakini bado ni masikini. Habarini za machweo humu ndani
You get what you work for not What you wish for
![]()
Nini? Ni chanzo cha ugomviHumu ndani leo kumesuswa hata sijui ni kwa nini?...
Muraa tata
Ugomvi ulianza alipomtamani mke wangu.
Wangu punguza hasira hicho tu ndio uanzishe ugomviUgomvi ulianza alipomtamani mke wangu.
Ugomvi wa nn tena?Wangu punguza hasira hicho tu ndio uanzishe ugomvi
Tena nakutafuta weye. Mzima lakini mdogo wanguUgomvi wa nn tena?
Wangu me mzima kabisa, web imenishinda nimerudi kwenye appTena nakutafuta weye. Mzima lakini mdogo wangu
Kwenye app na kile kile kisimu chako au shemeji kakununulia iphone.Wangu me mzima kabisa, web imenishinda nimerudi kwenye app

iphone ilinishinda kutumia, bora hata nokia tochi.Kwenye app na kile kile kisimu chako au shemeji kakununulia iphone.![]()
![]()
Nokia tochi mi ndio ninayotumia hadi kuingilia huku jfiphone ilinishinda kutumia, bora hata nokia tochi.
. Naipenda sana.Sana sana ukijua kuitumia, mwenzangu ndo kile kile kisimu shemeji yako hayupo jimbo limemshindaNokia tochi mi ndio ninayotumia hadi kuingilia huku jf. Naipenda sana.
Limemshinda ameamua kukimbia pekuSana sana ukijua kuitumia, mwenzangu ndo kile kile kisimu shemeji yako hayupo jimbo limemshinda
Limemshindaje tena? huyo naye atakuwa siye.Sana sana ukijua kuitumia, mwenzangu ndo kile kile kisimu shemeji yako hayupo jimbo limemshinda
Siye niliyemtaja mimi labda kama thatsit anamjuaLimemshindaje tena? huyo naye atakuwa siye.
Anamjua ila hamfai hata kidogoSiye niliyemtaja mimi labda kama thatsit anamjua